johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
John, kwani aliyepo ana qualities zipi za urais ambazo mtanzana mwingine hana? Jiwe anafanya nini ambacho wewe huwezi kufanya?Alipita kwa ngekewa ya tukose wote siyo kuwa he had wxceptional capabilities ambazo wengine hawana! Labda roho ngumu ya kukosa ubinadamu wa akina Ben, Mawazo, Azory, coco bech sandarusi,,... labda hayo!hamjawa na uwezo wa kutoa Rais wa JMT.
Lipi walilofanya? We njinga nini?(kwa sauti ya Tabu wa Kitimtim) kwani wao ndio wenye serikali?Kwani hiyo nafasi ya kub si mpaka itokee miujiza!! Sioni dalili za kushinda wabunge wengi kwa lipi walilofanya labda wakarudi Tena wengi bungeni? Labda wakazane kupata wabunge wawili watatu!!!
Ila hiyo roho ngumu kashindwa kwa Mtela. Labda alijua JoJo akifahamu kamfanyizia anaweza kunyimwa sukari guru!John, kwani aliyepo ana qualities zipi za urais ambazo mtanzana mwingine hana? Jiwe anafanya nini ambacho wewe huwezi kufanya?Alipita kwa ngekewa ya tukose wote siyo kuwa he had wxceptional capabilities ambazo wengine hawana! Labda roho ngumu ya kukosa ubinadamu wa akina Ben, Mawazo, Azory, coco bech sandarusi,,... labda hayo!
Alisikika Muimba kwaya AkisemaHili la kwamba wapinzani hasa cdm wasisimamishe mtu wa kushindana na Magufuli naona linarudiwa mara kwa mara, na hili halirudiwi kwa bahati mbaya. Ni kuwa Magufuli kuna mambo kweli kafanya vizuri, lakini wanaCCM na Magufuli mwenyewe, hayuko tayari kuingia kwenye ushindani wa kisiasa kwani hana uwezo wa kushindana kwa hoja.
Hivyo anajua akiingia kwenye ushindani wa kisiasa, atajikuta kwenye wakati mgumu kama ilivyokuwa kwa JK vs Slaa uchaguzi wa 2010. CCM hawako tayari kuona aibu na fedheha hii katika uchaguzi huu.
Hebu taja qualities za mtu mbadala wa John Mkuu katika hao waliokuzunguka au Wewe mwenyewe?John, kwani aliyepo ana qualities zipi za urais ambazo mtanzana mwingine hana? Jiwe anafanya nini ambacho wewe huwezi kufanya?Alipita kwa ngekewa ya tukose wote siyo kuwa he had wxceptional capabilities ambazo wengine hawana! Labda roho ngumu ya kukosa ubinadamu wa akina Ben, Mawazo, Azory, coco bech sandarusi,,... labda hayo!
Tueleze udini wa ACT WAZALENDO mkuu?Hicho chama kilishakufa, KUB hajulikani maana hakuna chama chenye nguvu. ACT ni wadini sana na Zitto ni mchumia tumbo wa mabeberu lazima akose kura na watu wake lazima waangukie pua
Nitoe angalizo, hii nchi ni yetu sote. Wacha kila mmoja apractice haki yake kikatiba.Kwa hiyo bwa shee matokeo tayari unayo mfukoni?