kwa taarifa zilizokamilika ni kuwa jimbo la biharamulo magharibi(chato)limechukuliwa na magufuli wa ccm,jimbo la biharamulo magharibi limechukuliwa na chadema,big up chademist
Heading iko wazi "yeye kama mwanachadema anayo furaha kuu kutujulisha ya kwamba CCM wamenyolewa bila maji jimbo la b'lo mashariki" kwa hiyo meza wembe kama hutaki
Unatuchanganya. Ni hivi: Jimbo la B'mulo Mashariki (Chato) Ndo Magufuri na B'mulo Magharibi (Biharamulo) Kwetu ni Dr Mbassah(Chadema) Hatuna utani Bi'mulo!
kwa taarifa zilizokamilika ni kuwa jimbo la biharamulo magharibi(chato)limechukuliwa na magufuli wa ccm,jimbo la biharamulo magharibi limechukuliwa na chadema,big up chademist