charityboy
Senior Member
- Nov 11, 2010
- 138
- 4
Jamani tunaomba wabunge wa CDM wawe makini sana. Wenzao wa CCM, CUF, TLP na NCCR wamezama na kubobea kwenye siasa kwa muda mrefu. Nina wasiwasi kuwa badala ya kujijenga kwenye bunge hili ili wafaidike 2015, huenda wakaharibu zaidi na kufutika kwenye ramani ya siasa za bongo. Hivi wabunge wa CDM watatoka bungeni mara ngapi? Hii njia aliyobuni mbowe ya kutoka bungeni nafikiri sio muafaka. Nahisi mhe. ZITTO alikuwa sahihi alipokataa kutoka bungeni kugomea hotuba ya Mhe. RAIS.