charityboy
Senior Member
- Nov 11, 2010
- 138
- 4
Wewe ni Chadema? Kama sio acha waliopigia kura wabunge wa Chadema walalamike. Chadema wamefanya kile ambacho tu wanachama wake tunakitaka, ndicho tulichowatuma huko bungeni...kupigana na udhalimu na ufisadi. Hata kama wakitoka kila siku kwa hoja sizizo na tija, tutawaunga mkono.Jamani tunaomba wabunge wa CDM wawe makini sana. Wenzao wa CCM, CUF, TLP na NCCR wamezama na kubobea kwenye siasa kwa muda mrefu. Nina wasiwasi kuwa badala ya kujijenga kwenye bunge hili ili wafaidike 2015, huenda wakaharibu zaidi na kufutika kwenye ramani ya siasa za bongo. Hivi wabunge wa CDM watatoka bungeni mara ngapi? Hii njia aliyobuni mbowe ya kutoka bungeni nafikiri sio muafaka. Nahisi mhe. ZITTO alikuwa sahihi alipokataa kutoka bungeni kugomea hotuba ya Mhe. RAIS.
jamani tunaomba wabunge wa cdm wawe makini sana. Wenzao wa ccm, cuf, tlp na nccr wamezama na kubobea kwenye siasa kwa muda mrefu. Nina wasiwasi kuwa badala ya kujijenga kwenye bunge hili ili wafaidike 2015, huenda wakaharibu zaidi na kufutika kwenye ramani ya siasa za bongo. Hivi wabunge wa cdm watatoka bungeni mara ngapi? Hii njia aliyobuni mbowe ya kutoka bungeni nafikiri sio muafaka. Nahisi mhe. zitto alikuwa sahihi alipokataa kutoka bungeni kugomea hotuba ya mhe. Rais.
Jamani tunaomba wabunge wa CDM wawe makini sana. Wenzao wa CCM, CUF, TLP na NCCR wamezama na kubobea kwenye siasa kwa muda mrefu. Nina wasiwasi kuwa badala ya kujijenga kwenye bunge hili ili wafaidike 2015, huenda wakaharibu zaidi na kufutika kwenye ramani ya siasa za bongo. Hivi wabunge wa CDM watatoka bungeni mara ngapi? Hii njia aliyobuni mbowe ya kutoka bungeni nafikiri sio muafaka. Nahisi mhe. ZITTO alikuwa sahihi alipokataa kutoka bungeni kugomea hotuba ya Mhe. RAIS.
jamani tunaomba wabunge wa cdm wawe makini sana. Wenzao wa ccm, cuf, tlp na nccr wamezama na kubobea kwenye siasa kwa muda mrefu. Nina wasiwasi kuwa badala ya kujijenga kwenye bunge hili ili wafaidike 2015, huenda wakaharibu zaidi na kufutika kwenye ramani ya siasa za bongo. Hivi wabunge wa cdm watatoka bungeni mara ngapi? Hii njia aliyobuni mbowe ya kutoka bungeni nafikiri sio muafaka. Nahisi mhe. Zitto alikuwa sahihi alipokataa kutoka bungeni kugomea hotuba ya mhe. Rais.
Jamani tunaomba wabunge wa CDM wawe makini sana. Wenzao wa CCM, CUF, TLP na NCCR wamezama na kubobea kwenye siasa kwa muda mrefu. Nina wasiwasi kuwa badala ya kujijenga kwenye bunge hili ili wafaidike 2015, huenda wakaharibu zaidi na kufutika kwenye ramani ya siasa za bongo. Hivi wabunge wa CDM watatoka bungeni mara ngapi? Hii njia aliyobuni mbowe ya kutoka bungeni nafikiri sio muafaka. Nahisi mhe. ZITTO alikuwa sahihi alipokataa kutoka bungeni kugomea hotuba ya Mhe. RAIS.
Wewe ni Chadema? Kama sio acha waliopigia kura wabunge wa Chadema walalamike. Chadema wamefanya kile ambacho tu wanachama wake tunakitaka, ndicho tulichowatuma huko bungeni...kupigana na udhalimu na ufisadi. Hata kama wakitoka kila siku kwa hoja sizizo na tija, tutawaunga mkono.
Hatulali...mpaka kieleweke!
Acha ushoga wewe dada!

aaah dada naona umetumwa na ccm au wewe mke wa makamba au ndo ziiile za mkwere kupiga kiaina na unamtetea, tunajua saana kuwa anapenda totooozi!Kitaeleweka hapo nyuma ya PC kweli?tusubiri tuone!!