Kila Chama cha siasa nchini kina mapungufu makubwa sana na mengi . Ntamshangaa Mtanzania anayedhani Chama anachounga mkono hakina mapungufu!
Nakuja Kwa CHADEMA Chama changu amabcho naamini sana katika falsafa zake kina mapungufu Kama vyama vingine
Ambayo sitayaweka hadharani ila Kuhusu Suala la COVID 19
Kuna Mijadala isiyo na afya kwamba Mbowe anajua kwamba walienda kuapa Kwa ruhusa yake kuwa wabunge! Mimi Kama binadamu naweza nikayumbishwa kuaminishwa hivo, swali wanaloshindwa kujibu je Nusrat hanje mbowe alikuwa na mamlaka gani kumtoa gerezani usiku? Tafakari
Mwalimu