CHADEMA Tunduma katika Picha Kazi ipo

Tatizo Wabunge wetu Wengi walishinda Kwenye kura za Maoni CCM tu huko kwa Wananchi hawajulikani
Wapo wanaojulikana kama JERRY slaa lakini kwa jinsi anavyochukiwa huku ukonga kwa kudharau wananchi sambamba na kutowasemea bungeni matatizo yao makuu ya barabara na maji, akiitisha mkutano anaweza kujikuta anahutubia Kuku [emoji215] na chawa wake peke e
 
Haya mambo naona inabidi ifike mahala tukubaliane, Chadema kujaza watu kwenye mikutano ya hadhara sio jambo la ajabu, ni kawaida, kwani wamekuwa wakifanya hivyo miaka yote, tatizo linakuja pale kwenye finishing line ...

Kwa maoni yangu, hapo ndio pakutilia mkazo zaidi, huku kwingine kwa watanzania naamini kazi iliisha siku nyingi.
 

Kwenye finishing line ni muhimu sana. Hapo muhimu kufahamu mtaji wa chama ni watu na katiba mpya haitapatikana kwa kuicheza ngoma ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…