Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Unaumiza moyo wangu.Hii inathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.
Tabia za wanachadema zinazo onekana leo hii kama vile; Uhalifu, Ujambazi, Uzaji wa madawa ya kulevya, Kupanga njama za kuuwa watu, kupanga njama za kutenda uhalifu, kujiteka, kuzua taharuki ktk jamii, kueneza uvumi ktk mitandao n.k zote hizo zilikuwa jitihada za Mwenyekiti wao.
Kamanda acha mambo ya kihuni.Mnafiki maarufu wa JF katika ubora wake!
Ni lini na wapi Chadema imempa vitisho Jaji Luvanda?
Naona mapunga mmeanzisha mada mnajijibu wenyewe, na mabasha tuko tunawaangalia tu. Tutafuteni kesho tuwapatie cha asubuhi hata kama kimoja hakitatosha.Tabia za wanachadema zinazo onekana leo hii kama vile; Uhalifu, Ujambazi, Uzaji wa madawa ya kulevya, Kupanga njama za kuuwa watu, kupanga njama za kutenda uhalifu, kujiteka, kuzua taharuki ktk jamii, kueneza uvumi ktk mitandao n.k zote hizo zilikuwa jitihada za Mwenyekiti wao.
We jamaa una matatizo ya kuwashwa makalio?Mainathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.
Naona mapunga mmeanzisha mada mnajijibu wenyewe, na mabasha tuko tunawaangalia tu. Tutafuteni kesho tuwapatie cha asubuhi hata kama kimoja hakitatos
We jamaa una matatizo ya kuwashwa makalio?
Mbona unakuwa kama shoga la kihindi?Mabasha tumetulia tu tunawaangalia mnavyojiangusha mbele yetu kifudifudi na suruali mmeshusha.
Wakudadavuwa mbona umeanza kutunga uwongo? Nini kinakutesa? Kuondokewa na mwendazake?Kamanda acha mambo ya kihuni.
☺☺☺Paragraph 24 ya Act no 3 2016 makosa yote ya ugaidi yanachukuliwa kama economic offences. Ndio maana mahakama ya kuu divison ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi ina mamlaka ya kusikiliza makosa ya ugaidi.
Kibatala alikurupuka kuweka pingamizi ambazo hazina mashiko ya kisheria kudai kuwa division ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi haina mamlaka.
Kueneza maneno kuwa Jaji Luvanda ni mwamuzi wa kimkakati ili kufanya kazi maalumu sio jambo jema na sio ustaarabu. Maana kila kitu kipo wazi kisheria.
Tuache mahakama itende haki.
Kuwa mstaraabu acha mastusi jadili mada.Mabasha tumetulia tu tunawaangalia mnavyojiangusha mbele yetu kifudifudi na suruali mmeshusha.
Sijaona kitisho chochote humo zaidi ya kumulikwa kwa maamuzi aliyoyafanya na atakayofanya na zaidi sijaona Chadema kama Chama ila ni uchambuzi wa mtu mmojaKwanini 'Jaji wa Kimkakati' Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe? - Sauti Kubwa
JUZI Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa limewekwa na mawakili wa upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema. Uamuzi wa Jaji Luvanda umesababisha baadhi ya watu kutaka kumjua yeye ni nani, na imekuwaje akawa msimamizi wa...sautikubwa.org
Huyu mchambuzi ni kada maarufu sana na role model wa wafuasi wa Chadema.Sijaona kitisho chochote humo zaidi ya kumulikwa kwa maamuzi aliyoyafanya na atakayofanya na zaidi sijaona Chadema kama Chama ila ni uchambuzi wa mtu mmoja
Hza alikuwa CDM kimoyomoyo!Hii inathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.
Tabia za wanachadema zinazo onekana leo hii kama vile; Uhalifu, Ujambazi, Uzaji wa madawa ya kulevya, Kupanga njama za kuuwa watu, kupanga njama za kutenda uhalifu, kujiteka, kuzua taharuki ktk jamii, kueneza uvumi ktk mitandao n.k zote hizo zilikuwa jitihada za Mwenyekiti wao.
Siamini kama utaeleweka pamoja na maelezo makiniParagraph 24 ya Act no 3 2016 makosa yote ya ugaidi yanachukuliwa kama economic offences. Ndio maana mahakama ya kuu divison ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi ina mamlaka ya kusikiliza makosa ya ugaidi.
Kibatala alikurupuka kuweka pingamizi ambazo hazina mashiko ya kisheria kudai kuwa division ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi haina mamlaka.
Kueneza maneno kuwa Jaji Luvanda ni mwamuzi wa kimkakati ili kufanya kazi maalumu sio jambo jema na sio ustaarabu. Maana kila kitu kipo wazi kisheria.
Tuache mahakama itende haki.