appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,262
- 2,184
Tunatambua mchango wenu katika kuikosoa serikal katika vyama vya upinzan vilivyo kaza bas ni chadema vyama vongine ni wakat wa uchaguz kisha hupotea
Uchaguz ni hesabu na mipango mipango huanza mapema wenzenu ccm wako busy na michakato ya kuwaandaa watu kisaikolojia juu ya wagombea wanaitisha chaguz tunaona sasa nyiny mko kimya sanaaa kama hakuna uchaguz mbeke yenu
Na matokeo yakitangazwa mnakimbilia kusema mmeibiwa kura kumbe mipango na malengo hamna
Najua mtanitukana lakin mimi nawakubal na nawastua muamke mpite njia wanazopita wenzenu
Maana tunawasikia viongoz wa ccm wakitoa nasaha mbali mbal kuhusu uchaguz na kuwasihi wagombea na wapiga kura wa ccm kujiandaa ila kamanda mbowe na wengine wameufyata kama ni jambp lisilowahusu
Asanteni kwa kinisikiliza