Pre GE2025 CHADEMA Uchaguzi 2025 tafuteni Wabunge achaneni na Urais, CCM ipo tayari kuuvuruga Uchaguzi mkitaka Urais

Pre GE2025 CHADEMA Uchaguzi 2025 tafuteni Wabunge achaneni na Urais, CCM ipo tayari kuuvuruga Uchaguzi mkitaka Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2023
Posts
1,483
Reaction score
2,392
Hakika kutokana na kiti cha urais kukaniwa na ccm ni wazi ccm itatumia mbinu zote kuhakikisha inashinda uchaguzi huo kama hayati magufuli alivyoukania urais na kuamua kuuvuruga ule uchaguzi ili ashinde na kweli alishinda na dunia nzima iliupinga uchaguzi ule.

Kuthibitisha hilo ni makataa ya ccm juu ya upatikanaji wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi huo ni ushahidi tosha kuwa ccm imekikania kiti cha urais.

Niwashauri chadema kama kweli wanataka kushiriki uchaguzi tena bila katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi basi washiriki kugombea ubunge na udiwani suala la kugombea urais kwanza wao kwa wao litawakosanisha pili ccm ipo tayari kuuvuruga uchaguzi na uwe na dosari nyingi ili mradi mgombea wao ameshinda.

Chadema pelekeni nguvu kubwa kwa wagombea ubunge na udiwani naamini mtapata wabunge na madiwani.
 
Mgombea dhaifu wa CCCM anatamani upinzani usisimamishe mgombea,
Nawashauri CCCM, badilini mgombea.

Tusubiri.
 
Hakika kutokana na Kiti cha Urais kukaniwa na CCM ni wazi CCM itatumia mbinu zote kuhakikisha inashinda Uchaguzi huo kama Hayati Magufuli alivyoukania URAIS na kuamua kuuvuruga Ule Uchaguzi ili ASHINDE na kweli Alishinda na Dunia nzima iliupinga Uchaguzi ule.
Kuthibitisha hilo ni Makataa ya CCM juu ya Upatikanaji wa KATIBA MPYA na TUME HURU ya Uchaguzi huo ni Ushahidi tosha kuwa CCM imekikania KITI cha URAIS.Niwashauri CHADEMA kama kweli wanataka kushiriki UCHAGUZI tena Bila Katiba Mpya wala Tume Huru ya Uchaguzi basi Washiriki kugombea UBUNGE na UDIWANI suala la Kugombea URAIS kwanza Wao kwa Wao litawakosanisha pili CCM ipo tayari Kuuvuruga Uchaguzi na uwe na Dosari nyingi ili mradi Mgombea wao Ameshinda.
CHADEMA pelekeni NGUVU kubwa kwa Wagombea Ubunge na Udiwani naamini Mtapata Wabunge na Madiwani.
Na huo ubunge nani kakalia?Washauri wasigombee chochote kama ndiyo hivyo!
 
Hakika kutokana na kiti cha urais kukaniwa na ccm ni wazi ccm itatumia mbinu zote kuhakikisha inashinda uchaguzi huo kama hayati magufuli alivyoukania urais na kuamua kuuvuruga ule uchaguzi ili ashinde na kweli alishinda na dunia nzima iliupinga uchaguzi ule.

Kuthibitisha hilo ni makataa ya ccm juu ya upatikanaji wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi huo ni ushahidi tosha kuwa ccm imekikania kiti cha urais.

Niwashauri chadema kama kweli wanataka kushiriki uchaguzi tena bila katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi basi washiriki kugombea ubunge na udiwani suala la kugombea urais kwanza wao kwa wao litawakosanisha pili ccm ipo tayari kuuvuruga uchaguzi na uwe na dosari nyingi ili mradi mgombea wao ameshinda.

Chadema pelekeni nguvu kubwa kwa wagombea ubunge na udiwani naamini mtapata wabunge na madiwani.
Ni kweli Nguvu kubwa waipeleke kwenye madiwani na wabunge.kwenye urais hawana mtu km watamwrka mwenye kuropoka Lissu anapigwa asubuhi huu
 
Back
Top Bottom