chadema uk inawakaribisha watanzania wote kutoa maoni yao ya katiba mpya

longinos

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
446
Reaction score
74
Hallow.

Naamini utakuwa unafuatilia au walau umesikia hali ya kisiasa ilivyo tata nchini Misri. Pia nina uhakika kila mmoja wetu ana maoni tofauti kuhusiana na janga hili.

Hata hivyo nia yangu sio kuku-lecture kuhusu Egypt bali ni kukutaka uchukue japo dakika uifikirie nchi yetu hasa wakati huu wa kuunda katiba mpya baada ya miaka zaidi ya 30. Ni vyema kutathmini na kuangalia taifa linakokwenda.

Katika konesha jinsi ambavyo inajali na kuthamini waTanzania waishio ughaibuni, CHADEMA imetoa nafasi ya pekee kwa waTanzania wote waishio nje ya Tanzania kutoa maoni yao ya katiba mpya.

Kutokana na umuhimu huu CHADEMA UK tumeandaa utaratibu mzuri na rahisi kabisa kwa mTanzania yeyote kutoa maoni yake. Maoni yote yatajumuishwa kwenye document moja na kutumwa CHADEMA makao makuu.

Mwisho wa kukusanya maoni ni tarehe 22/08/2013.

Weka maoni yako sasa hapa:

www.maoniyakatiba.chademauk.org.uk

Katiba ni muongozo wa taifa. Ijenge na kuiwekea nchi yako misingi imara.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Mkuu asante sana kwa kutushirikisha ila hiyo link inapaswa iwe kama ifuatavyo; http://maoniyakatiba.chademauk.org.uk
 
Maoni ya katiba na masuala ya Misri yameingiaje hapa??!!!

Eleza umuhimu wa katiba kwa maisha ya kila siku in person na Taifa kwa ujumla ndio umuhimu wa kuchangia utakuja!!!

Kwanza wameisoma hiyo katiba na kuielewa kbala ya kuikosoa ili kupata maoni!!!

Tunazo bible na misahafu hatuisomi ndo itakuwa katiba!!!!

Tuielewe iliyopo kwanza tusije toa udongo mfinyanzi tukaweka tifutifu!!!!
 
Back
Top Bottom