Kwa takwimu za Mchengerwa watu wote wenye umri wa kupiga kura 98% wameandikishwa ambao wengi wao ni vijana.
CHADEMA huwa mnajinadi kuwa chama chenu kina hazina kubwa ya vijana mnataka Mungu awape nini zaidi awaletee kipande cha dhahabu kwenye sinia.
Mnatakiwa mjue kuwa kila jambo huletwa na Mungu kwa makusudi najua hata CCM wanajuta kwanini wamedanganya idadi kubwa kiasi hiki.
Nategemea viongozi wote wa majimbo watakuwa wanajiandaa na kampeni za kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura ambayo ni November 27.
Pamoja na mapungufu yaliyojitokeza kwenye zoezi la uandikishaji haitakiwi kuendelea kulalamika. Sisi wapenzi wa mpira wa miguu refa akikubali goli la off side hatutoi timu uwanjani inaendelea na mchezo hadi dakika ya 90.
CCM haitatoka madarakani kwa maandamano bali kwa kura nyingi, yes, leo watafanikiwa kuiba lkn kuna siku hata wizi wao utashindikana mkijitokeza wengi kupiga kura