johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Si ajabu unaweza kuchoma mtu wa chadema na kisu sababu tu anatofautiana na wewe.Hakuna wa kuwaachia hao kima
Chadema ni mbumbumbu ndio maana Magufuli aliwatia ududu mwingi sana
We huoni nyumbu wanavyorusha mitusi humu jukwaani kwa kutofautiana nao kisiasa? Unavyowatazama unawaona ni wastaarabu kumbe eeh?Si ajabu unaweza kuchoma mtu wa chadema na kisu sababu tu anatofautiana na wewe.
Wala si ujanja ni ujinga ungemjibu kwa hoja shid ilkuw wap
Popomalism at workHakuna wa kuwaachia hao kima
Chadema ni mbumbumbu ndio maana Magufuli aliwatia ududu mwingi sana
Naunga mkono hoja Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni IkuluWaachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae
Mlale Unono
👉🌈🥱Hakuna wa kuwaachia hao kima
Chadema ni mbumbumbu ndio maana Magufuli aliwatia ududu mwingi sana
SIO kuwapa UMAARUFU CHADEMA bali Ni AIBU kwa CCM chama kizee Afrika kuogopa Maandamano tena ya AMANI na kueneza Propaganda eti yataleta MACHAFUKOKitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao
Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae
Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza Mzee Lowassa kuchukua Fomu Tume ya Uchaguzi pale Posta house 2015
Baadae walijaribu Peke yao wakaishia Mkwajuni na Akwilina kuuawa lakini yalikuwa maandamano dhaifu sana
Mlale Unono
Siasa zisitufanye kuwa watu wa hovyo tuvumiliane maisha yanataka ustaahimilivu.We huoni nyumbu wanavyorusha mitusi humu jukwaani kwa kutofauriana nao kisiasa? Unavyowatazama unawaona ni wastaarabu kumbe eeh?
Umepata bando?Kitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao
Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae
Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza Mzee Lowassa kuchukua Fomu Tume ya Uchaguzi pale Posta house 2015
Baadae walijaribu Peke yao wakaishia Mkwajuni na Akwilina kuuawa lakini yalikuwa maandamano dhaifu sana
Mlale Unono
Jamaa kimataifa yupo mbali snBalozi alimuuliza Mwamba, jee tukuletee Marines wasindikize maandamano kama wale wenye vitambi watatumwa kuwazuia?
Mwamba akamjibu, hapana wale watatupa fagio zao na kuungana nasi kuandamana kwena UN office ingawa wao wanataka kwenda pale ferry!
(Joke)View attachment 2876046
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
CCM wao tayari wameshaandamanaSIO kuwapa UMAARUFU CHADEMA bali Ni AIBU kwa CCM chama kizee Afrika kuogopa Maandamano tena ya AMANI na kueneza Propaganda eti yataleta MACHAFUKO
Atakaye yazuia MAANDAMANO ndiye ATALETA MACHAFUKO na Sio CHADEMA
Tulishuhudi Maandamano ya Uchaguzi wa Kinondoni enzi ya Utawala wa Magufuli POLISI waliyazuia kwa Risasi na matokeo yake AKWILINA aliuawa na sababu ya Maandamano ni MKURUGENZI wa Manispaa kukataa kuwapa CHADEMA Barua za Mawakala
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Asubuhi hii tulale unono?Na migunda ndauli?CHADEMA ni maarufu kuliko nyamsa.Kitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao
Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae
Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza Mzee Lowassa kuchukua Fomu Tume ya Uchaguzi pale Posta house 2015
Baadae walijaribu Peke yao wakaishia Mkwajuni na Akwilina kuuawa lakini yalikuwa maandamano dhaifu sana
Mlale Unono
We huoni nyumbu wanavyorusha mitusi humu jukwaani kwa kutofauriana nao kisiasa? Unavyowatazama unawaona ni wastaarabu kumbe eeh?
haiwezekani mapanyarodi na manyumbu yasababishe uharibifu na unyang'anyi wa mali za watu mtaani na kuibua taharuki na uvunjifu wa amani eti tunawapa umaarufu 🐒Kitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao