Chadema waanza omba omba

Chadema waanza omba omba

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Ktk account yake ya X, lema amewataka Watanzania kuchangia fedha chadema na kuweka account.
My take.
Walisema mbowe hakuandaa vianzio vya mapato na kufanya chama omba omba
Leo hii mwezi tu chama kitandika bakuli la omba omba.
Lissu kaanza kufeli mapema, omba omba imekuwa kubwa
 
..CCM wanachotewa 3.2 BILLION kila mwezi na Msajili wa vyama kama ruzuku.

..Juzi nimeona CCM wameita mabilionea wa Kiasia kuchangia jengo la chama Singida mjini.
 
..CCM wanachotewa 3.2 BILLION kila mwezi na Msajili wa vyama kama ruzuku.

..Juzi nimeona CCM wameita mabilionea wa Kiasia kuchangia jengo la chama Singida mjini.
Lissu kasema yeye ccm anawaweza sio kama mbowe. Aoneshe makucha sio kila siku kuhutubia ktk screen tu
 
Watu wa kuchangia ni wengi sana kila mwezi wakichanga watu million moja mara elfu moja inapatikana billion 1 na sasa tunauhakika na uongozi uliopi utatumia pesa vizuri
 
"Cha msingi ni kuwe na uwazi wa kinachopatikana na matumizi yake"

20250124_201540.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Watu wa kuchangia ni wengi sana kila mwezi wakichanga watu million moja mara elfu moja inapatikana billion 1 na sasa tunauhakika na uongozi uliopi utatumia pesa vizuri
Changia wewe punguza maneno yasiyo na msingi 😂 😂
 
Lissu kasema yeye ccm anawaweza sio kama mbowe. Aoneshe makucha sio kila siku kuhutubia ktk screen tu

..CCM mnachotewa ruzuku 3.2 BILLION kila mwezi, kwanini mnakamua Wafanyabiashara wa Kiasia kuchangia chama?
 
Hoi strategy ya CDM inafurahisha sana, watu wanataka kupewa mikopo wao wanataka michango 😀
 
Nyuzi zako ni kielelezo cha namna gani humo CCM mmejaa vilaza.

Ni aibu kabisa unaanzisha uzi kushangaa Chama cha siasa kufanya fund raising.

Kweli CCM wamenajisi hii nchi.
 
Watanzania kwa mujibu wa Heche hawana uwezo wa kulipa elfu 20 ili waingie peponi, je watakuwa na uwezo wa kuchangia hata mia tano kwa CDM? Chadomo acheni utapeli.
 
Ni mfumo shirikishi - wananchi ni lazima wawe sehemu ya mageuzi hayo.
 
Back
Top Bottom