Elections 2010 Chadema wababe HAI, kwa kura moja toka CCM!!

ahahaaaa ncha vipi? upoooo? apewe safari bana ya barriiiidii!

ahahaaa nipo, mi huwa sina brand!! sa jana nilipata serengeti ndio naikumbuka. watu ccm mojamoja kama hao ndio angalau nawaona wanastahili ofa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…