YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kwenye Vita viongozi hutakiwa kuwa mstari wa mbele kupigana bega kwa bega wakishiriana na wapiga kura
Wabunge wa chadema kwa hofu ya corona walikimbia wakaitelekeza kwa wapiga kura wao eti wanaogopa kufa kwa corona
Wakaacha wapiga kura wao ambao hata hela ya barakoa hawana waendelee kupambana na hali yao.Kana kwamba corona inachagua inawawinda Wabunge wa chadema tu na sio wanachama wao
Kama waliona corona tishio wangwaambia wanachama wao pia wa just lock down.Lakini walivyo wabinafsi wakajilock down wao peke yao as if wao ndio special kuliko wanachama wao.Wangekuwa wanawajali wanachama wao wangeitisha lockdown ya wanachama wao nchi nzima.Lakini walijipendelea wao tu Kama vile wao ndio peker special Sana chadema!!!
Walichofanya Ni usaliti na kukimbia Vita na kutelekezea raia mpiga kura
Huwa wanajiita makamanda na huvaa manguo ya jeshi la mgambo na kuitana kamanda kamanda.Kamanda gani hukimbia Vita akiacha wapiga kura wake wapambane wenyewe.?
Chadema walikimbia Corona kwenda ku ji lockdown je wangekuwa wameshika nchi ikatokea vita si wangekimbilia nje ya nchi na kuacha wanachi wauawe na adui.?
October 2020 mpiga kura usikosee isiwape kura wabunge wa chadema Ni wabinafsi na wasio jali wanachama wangekuwa wanajali wanachama wangesema wanachama wote wa chadema mjilock down sababu huko Mitaani kwenu pia kuna waumwa corona na wafa kwa corona wengi tu kuwa salama mji lock down
Lakini wakasema ohh sijui bungeni Kuna mgonjwa na sijui Kuna wabunge wanahisiwa kufa kwa corona kwa hiyo tunajikinga!!! Kwani Mitaani hawapo waumwa corona na wafa kwa corona?
kwanini waji lockdown peke yao bila kushirisha wanachama wao? Na uzuri walitamka kupitia Mbowe kuwa Wana jilock down kuepuka maakbukizi bungeni !!! Kwa hiyo.mitaani kwa wapiga kura wao corona ilikuwa hamna? Wakati wao wenyewe ndio wapiga yowe la ohh Mitaani Hali mbaya ser