johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nashauri tu kwa sababu Watanzania hatutabarikiwa na Mungu kama chombo chetu kitukufu cha Bunge kinanajisiwa mchana kweupe.
Ninayasema haya baada ya jana kuwasikiliza wanasheria nguli akina Chris Maina, Jaji Warioba, Prof Shivji nk nk katika uzinduzi wa kitabu cha Jaji mkuu mstaafu Barnabas Samatta.
Wanasheria hao kwa pamoja wanakubaliana hakuna aliye juu ya sheria.
Je, ni nani aliyewapa ubunge akina Halima Mdee na wenzake?
Ukinizingua Nitakuzingua!