The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
TakatakaMwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, Khalifa Mtukura amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa miongoni mwa wanachama 26 waliohama kutoka vyama vya upinzani.
Mtukura ametangaza uamuzi huo wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi uliofanyika katika Shule ya Msingi Namtumbo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha, Fatuma Rashid aliyekuwa Mhasibu wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Jimbo la Songea Mjini, naye amehamia CCM, akisema kuwa utendaji mzuri wa Rais Samia Suluhu Hassan ndio umemshawishi kufanya uamuzi huo.
Katibu Mkuu huyo wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi anaendelea na ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma.
View attachment 3292765
Wahamie tuu huko, Kwa Sasa CCM vyeo hamnaaa !!.Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, Khalifa Mtukura amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa miongoni mwa wanachama 26 waliohama kutoka vyama vya upinzani.
Mtukura ametangaza uamuzi huo wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi uliofanyika katika Shule ya Msingi Namtumbo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha, Fatuma Rashid aliyekuwa Mhasibu wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Jimbo la Songea Mjini, naye amehamia CCM, akisema kuwa utendaji mzuri wa Rais Samia Suluhu Hassan ndio umemshawishi kufanya uamuzi huo.
Katibu Mkuu huyo wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi anaendelea na ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma.
View attachment 3292765
wajinga waoga na wasioamini wapishe mapema,wakajiunge na wajinga wenzaoMwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, Khalifa Mtukura amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa miongoni mwa wanachama 26 waliohama kutoka vyama vya upinzani.