Uchaguzi 2020 CHADEMA waendelea kuzichanga karata vyema

Golobeja

Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
93
Reaction score
98
Kama kawaida naendelea kupambanua hali ya mchuano na mtifuano mkali katika medani za siasa hasa katika kipindi hiki muhimu sana.
Wakati Tundu Lissu aliyepewa jina la mbeba maono akichangisha pesa ya kuchukua fomu huko mitandaoni,nguli wa siasa zisizo umiza Lazaro Nyarundu anaelekea Mwanza kwaajili ya kuendeleza harakati za kunyakua tiketi ya kupeperusha bendera zinazoshushwa Kwa nguvu katika himaya ya mfalme wa uyahudi.
Hapa upande wa chama tawala joto linapanda wasijue wanapambana na nani je watamzuia kwa kumsweka ndanni Tundu Lissu? Hii italeta taswira mbaya upande wao na itapelekea kuwapa point CHADEMA wasithubutu! Au wakuze propaganda ya kuuza twiga? Hii haina nguvu pia.
Na Wana propaganda wa CHADEMA walishachungulia mpasuko ndani ya chama tawala wa.eamua kuwachezesha sindimba sasa wakizidi kumjaza sumu BM je atavuka mto na wana CCM nguli? Hili litakua anguko kubwa Kwa watawala na litadhihirisha maneno ya baba wa taifa "upinzani makini utatoka ndani ya CCM" yangu macho
 
Chadema tulianza na mungu na mwaka huu tutamaliza uchaguzi na mungu..ushindi ni wetu iwe isiwe
 
Chadema mko lockdown bana au imeisha? Nyie fanyeni hii hapa
Hii hapa
IMG-20200611-WA0016.jpg
 
Kama kawaida naendelea kupambanua hali ya mchuano na mtifuano mkali katika medani za siasa hasa katika kipindi hiki muhimu sana.
Wakati Tundu Lissu aliyepewa jina la mbeba maono akichangisha pesa ya kuchukua fomu huko mitandaoni,nguli wa siasa zisizo umiza Lazaro Nyarundu anaelekea Mwanza kwaajili ya kuendeleza harakati za kunyakua tiketi ya kupeperusha bendera zinazoshushwa Kwa nguvu katika himaya ya mfalme wa uyahudi.
Hapa upande wa chama tawala joto linapanda wasijue wanapambana na nani je watamzuia kwa kumsweka ndanni Tundu Lissu? Hii italeta taswira mbaya upande wao na itapelekea kuwapa point CHADEMA wasithubutu! Au wakuze propaganda ya kuuza twiga? Hii haina nguvu pia.
Na Wana propaganda wa CHADEMA walishachungulia mpasuko ndani ya chama tawala wa.eamua kuwachezesha sindimba sasa wakizidi kumjaza sumu BM je atavuka mto na wana CCM nguli? Hili litakua anguko kubwa Kwa watawala na litadhihirisha maneno ya baba wa taifa "upinzani makini utatoka ndani ya CCM" yangu macho
Deja vu
 
Back
Top Bottom