johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Katika nchi yoyote duniani yenye mfumo wa chama kimoja au vyama vingi, Kuna kundi linaitwa wasio na chama na hili lilikuwepo hata hapa Tanzania tulipokuwa chini ya chama kimoja.Kabla ya kuwepo chadema, kulikuwa na ccm tu. Kwa mantiki hiyo, ni ccm ndiyo inayokimbiwa na maelfu, kama sio mamilioni ya wafuasi wake.
HUU UTAKUWA UONGO. Dr. aNASITA nini kuwapokea. Kama waliweza figisua viti vyote vya serikali za mitaa, wameshindwa vipi kuwapokea hao wahamiaji, Na mbona bado hawajajitoa CDMBinafsi naona kuna tatizo kubwa la kuhamahama kwa viongozi wa Chadema pasi na sababu za kueleweka na kuaminika.
Juzi kaondoka mzee Sumaye na kabla ya hapo Dr Bashiru akiwa Zanzibar City alisema ana barua nyingi tu za wabunge na madiwani wa Chadema wanaoomba kuhamia CCM.
Ni vema basi Chadema wakatafuta maridhiano ya ndani ya chama chao kwanza ambako tatizo liko dhahiri.
Maendeleo hayana vyama!
Una haki na hizo hisia zako.Katika nchi yoyote duniani yenye mfumo wa chama kimoja au vyama vingi, Kuna kundi linaitwa wasio na chama na hili lilikuwepo hata hapa Tanzania tulipokuwa chini ya chama kimoja.
Katika mchakato wa kukusanya maoni kama tuendelee na mfumo wa chama kimoja au vingi ,80%+ walisema tuendelee na chama kimoja na hao 20%- waliosema tuingie kwenye vyama vingi ndio wale wasio chama.
Kwa hiyo ,napingana na wewe kwamba kwa kuwa tulikuwa na chama kimoja kimoja basi CCM ndio inakimbiwa. CCM haikimbiwi kwa sababu sio kila mtu alikuwa mwanaCCM na upinzani/CHADEMA ni zao la wale waliokuwa hawana chama wakati wa mfumo wa chama kimoja na si zao baada ya CCM kusambaratika
Asiyetaka kubaki Chadema aende tu huko CCM nayo ni demokrasia.Binafsi naona kuna tatizo kubwa la kuhamahama kwa viongozi wa Chadema pasi na sababu za kueleweka na kuaminika.
Juzi kaondoka mzee Sumaye na kabla ya hapo Dr Bashiru akiwa Zanzibar City alisema ana barua nyingi tu za wabunge na madiwani wa Chadema wanaoomba kuhamia CCM.
Ni vema basi Chadema wakatafuta maridhiano ya ndani ya chama chao kwanza ambako tatizo liko dhahiri.
Maendeleo hayana vyama!
Amebakishiwa za kutolea povu tu.Dr Bashiru alikuwa anaheshimika sana kabla ya kujiunga na ccm
Kwa sasa anapiga siasa za kijinga sana