Elections 2010 CHADEMA wafunika kanda ya magharibi: Kampeni za Zitto katika picha usipime

Ama kweli Watanzania wameichoka CCM. Natabiri kwamba akienda Mwinyi au Mkapa au Sumaye huko alikopita Zitto hawatajitokeza hata nusu ya hao wa Zitto. Tena huenda ikatokea zomea zomea!
 
Mkoa wa Mara naufahamau sana; mwaka 1981 walimwambia Nyerere pale Mkendo kuwa aondoke na Wasira wake na kweli Nyerere akafanya hivyo. Kwa miaka yote tangu vymba vingi vianzer kufanya kazi, mkoa wa Mara umekuwa na asilimia kubwa ya wabunge wa upinzani kuliko mkoa wowote Tanzania bara. Mwaka huu CCM watakiona cha moto.
 
Kwanza kabisa, niweke wazi kuwa mimi na Zitto tumekuwa na tofauti zetu kisera for a while hapa JF. For a while there was some kinda of ....(...) going on between us

Sera zipi? Chuki binafsi na usisi na uwao ndio sera zako?
 
Pamoja na kuona yote haya, ukiwaambia REDET wafanye utafiti ni Chama gani kina mvuto kwa watanzania kwa sasa, watasema Utafiti unaonyesha CCM ni 88% Chadema 6% CUF 4% wengine 2%. Bila mizengwe 2010 Tanzania mpya itazaliwa. Eeh MOLA sikia kilio chetu.

Kwani REDET walifanya utafiti katika mikutano ya kampeni?
 
Kuna Siasa ndani ya vyama na nje ya vyama ila hivyo ni kitu kizuri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…