johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hahahaaaaaa..... Wameona mafanikio ya mchungaji Rwakatare!Huko ndo kuishiwa hoja kwani UKAWA nayo imeishia wapi si ilianzishwa hivi hivi?
Mkuu taratibu!Wakaombewe waolewe kwanza..wamama wahuni wahuni tu sauti kama sabuufa
Kwani bado chadema wapo Tanzania?Chadema wameamua kuja na sera ya upepo wa kisulisuli ambayo inalenga kuwaunganisha wapinzani ili wawe kitu kimoja katika mkakati wa kuiondoa CCM madarakani.
Upepo wa kisulisuli ni kaulimbiu inayotumiwa sana na mchungaji Rwakatare wa mlima wa moto.
Source Tanzania Daima!