Pre GE2025 CHADEMA wakataa ulinzi wa Polisi, wasema hawataki kulindwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wahoji ulinzi wa Polisi kwenye Mkutano wao wa Uchaguzi huu ikiwa hawajawahi kufanya hivyo kwenye chaguzi zao zilizopita.
Your browser is not able to display this video.
 
Wakati mwingine wanachama wenzetu ni wapuuzi.
Kwenye mkusanyiko mkubwa hivyo ulinzi lazima uimarishwe kwasababu jambo lolote linaweza kutokea.
Sio kila aliyehudhuria hapo ana nia njema
Na ww mtoa mada kusema CDM wamekataa umepata wapi hilo tamko la chama?
 
Chadema bhana 😂

Anyway, tupate salamu kutoka kwa mwenyekiti king'ang'anizi

Your browser is not able to display this video.
 
Hata hamjui mnachokitaka nyinyi sasa huyo mwenyekiti mtachagua mnaemtaka kweli...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…