CHADEMA wakataza

labda umetumwa na Mwanakijiji ili umlinde na tabia yake ya kutumia majina mengi kama yalivyotajwa humu.

Kifimbo, naomba unioneshe tabia yangu ya kutumia majina mengi kama "yalivyotajwa humu". Ni wapi MoD au Admns yoyote aliyesema MwanaKJJ anatumia majina mengi humu? Unless wewe unajua hivyo. Toa ushahidi.
 
Mie nina posts 208 humu Jambo Forums unasema kila mara nakutajataja naomba niambie katika hizo nimekutaja mara ngapi?

Toa ushahidi naomba na wewe kama una bifu na Chinga usituingize wengine,sie wengine hapa JF tunaona ni baraza la kutoa soga tu, wenzetu hapa ni mahala ambapo hamukosekani kama eneo la ibada au mko kwenye ajira , kama unaona nimekukosea nakuomba radhi ila mimi nilikuwa na bifu na senti 50 na hasira zangu nikazipeleka kwake. mara umekuja juu kana kwamba wewe ni Senti 50.

Samahani mzee wangu Mwanakijiji mie sijawahi kuitumia JF kumsifu Jakaya au CCM au kutetea mtu yeyote ambaye kwenu Chadema ni fisadi, kwa muhtasari huo kunichukia na kuanza kunitangazia vita ambayo ulitakiwa upambambane na Chinga au Kubwajinga ni kunionea.

Naomba utizame michango yangu imejikita kwenye welfares za watanzania siko kwenye siasa,ukabila wala dini.mie si maji yako unanionea watu wa kariba yako ni kina Field Marshal Es au GT.

Hata uki influence nifungiwe sio tatizo mie kukosa kutizama mpira ni ugonjwa lakini JF ni website kama website nyingine.

sidhani kama ni busara kuwabinya baadhi ya members kwa vile ni members wa kawaida humu, JF ni ukumbi wa wote lakini ukiwa wasemaji wakubwa ndio nyinyi utakuwa udikteta wa ajabu nadhani unayo website yako huko ungefanya utakavyo, lakini kuja hapa JF kututisha sisi vidagaa ni uonevu mkubwa wetu.
 
Let see the evidence!..


Na hapa:

Kitila Mkumbo hili halioni akitajwa Mwanakijiji hapo anatakuja juu kama kafumania.

let the record show...
 

that is what i thought.. madai utoe wewe halafu kulia ulie wewe, ati "vidagaa"! Hujatishwa na mtu yeyote umeambiwa utoe ushahidi wa madai yako au uelezee maneno yako umebakia kulia lia; kwanini usiende kwenye klabu wa "ninaonewanamwanakijiji.com"?
 

Kama huwezi kuweka links, kwa nini unaendelea kuweka ambazo ni missleading? Leta maswali na sio uzushi. Kaya-copy na kuyaweka wazi hayo maswali ili ujibiwe na sio kuzungukazunguka.
 

Asha,
  • Umesema kuwa ulishawahi ku-search hili suala hapo awali, kwa nini usifanye hivyo tena na kutuonyesha hayo majibu yanayotosheleza badala ya kuendelea na porojo?
  • Kama Mnyika au Zitto ndio walioandika, kwa nini usiwasiliane nao kwa PM, ili wakueleze ilipo hiyo article kama yakikushinda?
  • Au kwa nini wale waliokukataza kutumia signature ya chama chao, kwa nini wasikusaidie kupata majibu yenye kueleweka?
 
that is it.. sina jingine la kusema. Let the record show that they failed to offer any shred of evidence of their allegations against me.

M. M.
 
 
Unajua ninyi wote hamuwajui hao Chadema tatizo siyo huyo Asha tatizo hicho chama ni chama cha kikabila angekuwa amesema manenohayo mbowe wala haingekuwa tatizo lakini kwa kuwa amesema Asha imekuwa ni tatizo kwa kuwa wanaona wkimwachia watampa umaarufu
 
that is it.. sina jingine la kusema. Let the record show that they failed to offer any shred of evidence of their allegations against me.

M. M.

Nina posts 211 hujasema mara ngapi nimekutaja zaidi ya kuendeleza majungu tu.lete ushahidi wa kunizulia mambo ya uongo? nikuafute fuate ili iwe nini? kwani wewe umemtaja Ro mara ngapi kwenye mjadala wako? au nawe unamfuatafuta au unalialia? umemtaja Ro kwenye klhnews yako, JF na kulikoni
 
Wakuu,

Hii ni JF niliyoizoea kama hakuna jambo la maana linaloendelea. Simba akikosa nyama hula majani, JF wakikosa wa kumlima NYANI GILADI, wanaanza kulana wenyewe kwa wenyewe kwi kwi kwi!!!!!!

Wanaanza na vifaranga, vikiisha wanaanza kujeruhiana wenyewe kwa wenyewe.

Mimi hapa yangu ni macho tu na popcorns zangu ambazo zimejaa bakuri!
 


Asante ndugu Mtanzania, kumbe ndio ilivyo, ni vizuri kujua.
 
Asante ndugu Mtanzania, kumbe ndio ilivyo, ni vizuri kujua.
Sana tunatishwa ili manyampara waendelee kutesa. mie si mtu wa siasa na wala sijawahi kuishupalia Chadema lakini nimevamiwa na kuwa subject na Nyapara wa JF. hawajapewa nchi tayari madikteta.
 
Asante kwakuliona hili.
 
Sana tunatishwa ili manyampara waendelee kutesa. mie si mtu wa siasa na wala sijawahi kuishupalia Chadema lakini nimevamiwa na kuwa subject na Nyapara wa JF. hawajapewa nchi tayari madikteta.

mafuta uyaweke mwenyewe kikaangoni, halafu moto uupulize mwenyewe halafu ulie unaungua!?
 
Sana tunatishwa ili manyampara waendelee kutesa. mie si mtu wa siasa na wala sijawahi kuishupalia Chadema lakini nimevamiwa na kuwa subject na Nyapara wa JF. hawajapewa nchi tayari madikteta.

umenishupalia mimi kwa kunitaja taja bila sababu ya msingi ilimradi upate nafasi ya kuja kulia unaonewa ati na wewe ni "vidagaa"..huwezi moto, kwanini unauchezea?
 
umenishupalia mimi kwa kunitaja taja bila sababu ya msingi ilimradi upate nafasi ya kuja kulia unaonewa ati na wewe ni "vidagaa"..huwezi moto, kwanini unauchezea?

Siwezi kubishana na wewe, mwenzetu una uwezo wa kumfungia mwanachama na kufuta mchango wake, ni sawa na kupigana ngumi na mwenzio huku mkono mmoja umefungwa kamba kwa nyuma, na mwenzio yuko na mikono miwili, zaidi ya yote refarii kila dakika anapiga filimbi ya kukubana mwenye mkono mmoja. kama ulivyosema si uwezo moto huu ambao refarii yuko upande wa bi senti 50 ambaye tumeambiwa ni wewe.
 
Siwezi kubishana na wewe, mwenzetu una uwezo wa kumfungia mwanachama na kufuta mchango wake,

Once again, unakuja na madai ya kitoto! onesha ushahidi kuwa nina uwezo wa kumfungia mwanachama na kufuta mchango wake! Ni lini ulitangaziwa kuwa mimi ni Moderator hapa au nina privelege za umoderator? Onesha ushahidi au acha kunipa nguvu nisizokuwa nazo.

.
kama ulivyosema si uwezo moto huu ambao refarii yuko upande wa bi senti 50 ambaye tumeambiwa ni wewe.

yaani mimi ndiyo Bi. Senti 50? you must be kidding. Onesha ushahidi wa lini ilisemwa hapa kuwa mimi ni Bi. Senti 50!
 
Ilisemwa hapa hapa Jf jana pitia vizuri thread hizi kuwa ni wewe senti 50 na ukaongezwa na Mwafrika wa Kike yote majina haya ya kike ili michango yako ionekana inatoka kwa wanawake.
Kitila nae akasemwa anatumia Asha.
 
Ilisemwa hapa hapa Jf jana pitia vizuri thread hizi kuwa ni wewe senti 50 na ukaongezwa na Mwafrika wa Kike yote majina haya ya kike ili michango yako ionekana inatoka kwa wanawake.
Kitila nae akasemwa anatumia Asha.

Ilisemwa hapa na nani, weka hiyo quote basi tuone huyo aliyesema ni nani na kwanini tumuamini na kwanini wewe mtu na akili timamu umeamini hivyo. Weka ushahidi ambao umekufanya wewe uamini kuwa mimi ni Bi. Senti 50 au Mwafrika wa Kike. Usiogope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…