Lowasa rais wetu rasmi kuanzia 25 oct 2015
Na ccm wanavyoshindwa watasingizia nani?
Hawakosi la kusema hawa tushawazoea
Hii ni tabia ya wapinzani toka 1995.
Mwaka huu tume inafanya kazi kwa weledi sana na mpaka sasa hatujaona mapungufu ya NEC ukiacha shutuma za kitoto kutoka kwa Mbowe.
Kwa jinsi NEC inavyoendesha mambo yake katika uchaguzi wa mwaka huu sitegemei CHADEMA kuwasingizia tume kuwa kuna wizi wa kura.
kweli wewe ni maku keep be blindlyHii ni tabia ya wapinzani toka 1995.