Elections 2015 CHADEMA wakishindwa watasingizia NEC!

Daftari la wapiga kura liko wapi, kuna tatizo gani kulitoa hilo daftari, sheria inataka daftari litoke mapema na lihakikiwe na vyama vya siasa, ndiyo ni lazima NEC wabebe lawama na walalamikiwe kwani kuna taarifa zinasema wamewaondoa vijana wote wenye umri chini ya miaka 35
 

Mara maafisa wa nec tunakunywa nao chai mara maafisa hao hao ni wabaya!

Hizi porojo za miaka nenda rudi haziishagi?

Kampeni hamfanyi mnabaki kupiga mdomo.
 
CCM hawatarajii kushindwa ndio maana huwasikii wakiitisha press conference za kulaumu taasisi za serikali


Sawa let's wait and see jinsi mzaramo atakavokimbia nchi na kuyaacha nyuma Malory yake ya delina, Pwani Hauliers , GSM na hayo mengine
 
Mbowe anakuja na drama za tume huru ya uchaguzi,usalama wa taifa na vilio vya kilasiku.wakati yeye ndie alieamrisha Ukawa wagomee mchakato wa katiba BMK.
Tena yamegoma yenyewe yanaudhi sana. Maana ingekuwepo tume huru ni jambo la msingi na ile ya kupinga matokeo ya rais. Ingesaidia walau hofu ya kusema watachakachuliwa. Leo hata hiyo badilibadili kwenye tume huenda ingeufyata.
 
mkuu wanaongea hivyo ili wakishindwa ionekane kuwa wanapendwa na watu sema wanaibiwa kura... wakati uhalisia ni wanapendwa na wahuni tu ....
 

Badala ya kumwaga sera wanatafuta visingizio kuwa wataibiwa kura, wakati Kila kituo kutakuwa na mawakala wao.
 

tungeamini tume inafanya kazi kwa ustadi kama wangemkemea nape na msukuma kwa
matusi wanayotukana
 

Acheni uongo nyie taarifa zilikua bado zinachakatwa system ilikua inapokea taarifa taratibu kutoka kwenye BVR madaftali ya awali yalikua na mapungufu kutokana na system ilikua bado haijamaliza kupokea taarifa zote kwa sasa imebaki mikoa kama 4 hivi na hasa Dar ikikamilika vyama vyote vitapewa hiyo soft ya Daftali wala hakuna watu walioondolewa na hata ikitokea jina likosekane kwenye daftali tume itatao utaratibu hapo badae watapiga tu kura yani mwaka huu visiongizio hamna muda bado viongozi wenu wanayoratiba ya lini wanatakiwa kupewa hilo daftali ila cha kushangaza wanapotosha tu umma
 
mkuu wanaongea hivyo ili wakishindwa ionekane kuwa wanapendwa na watu sema wanaibiwa kura... wakati uhalisia ni wanapendwa na wahuni tu ....

Mnyika anatia huruma kweli kila siku porojo tu kwenye vyombo vya habari
 
Kwa sasa hiv watu hawadanganyiki ndugu ,kinachoendelea kinajulikana
 
NECCCM Tumeccm na Polisiccm wamelibaka sanduku la kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…