Chadema wakisusa sisi twala

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
No reform no election ni sawa na kumpiga chura teke. Chama cha Dovutwa, CUF, TLP na vingine vitawakilisha uchaguzi wa vyama vingi, fikirieni upya. Kama watasusa CCM watapita bila kupita na kugeuka hasira za mkizi furaha kwa mvuvi. Hakuna varangati linaloweza kuzuia uchaguzi usifanyike.
 
Kaeni kwa kutulia maana bado hamjasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…