CHADEMA wakisusia maridhiano watasusia na vikao vya kuandika Katiba Mpya?


Kwa hiyo mkuu una maanisha bila Chadema hawawezi fanya maridhiano?
 
Muambie huyo muhuni aelewe. Kama anataka kujua ukweli wa kuwa watu wameamka na sio mafala kama zamani, asikilize maoni ya wananchi baada ya ile ripoti ya kumkinga Samia jana. Tena sio kwenye mitandao ya kijamii tu, iwe redio, tv nk ambako watu wanatoa maoni yao ndio atajua ni kwa kiwango gani watu wameamka. Na hayo maoni yanatoka hata kwa watu wa vijijini sio mjini tu.
 
Ni mpumbavu tu ndio ataamini kuwa ccm na huyu mpuuzi anaweza akaleta katiba mpya!!, Kama ameshindwa kuiacha tume ichunguze na kutoa ripoti kwà uhuru itakuja kuwapa watanzania Katiba!.
 
Kwa hiyo mkuu una maanisha bila Chadema hawawezi fanya maridhiano?
Unaridhiana nini? Na nani? Chadema wanawakilisha raia ambao hawakuwa na imani toka mchakato wa uchaguzi, masuala ya utekaji!. Vyama vipanzi vingine vyote vilishiriki uchaguzi na kusema wazi hakukuwa na Tatizo, automatically wao sio wahitajika kwenye maridhiano.
Huwezi ukawa kwenye maridhiano na mtu/chama ambacho hakijaona kasoro zozote, au tafsri ya maridhiano ndio changamoto?.
 
Ccm ni genge la majinga. Wanaweza kuchukua ile katiba ya 77 wakaipa jina KATIBA MPYA. C uliona ile tume ya uchaguzi waliibatiza TUME HURU YA UCHAGUZI!
 
SAMIA NI MUHALIFU MAUAJI WA RAIA WEMA NA WAZALENDO NCHINI...TENA SIYO RAIS HALALI HAKUNA ALIYE MCHAGUA ..TENA NI HAINI WA KIFU CHA JPM
 
NENDA SHULE KIJANA KATIBA INAANDALIWA NA WANANCHI KUPITIA ASASI MBALIMBALI ,KATIBA HAINDALIWI NA CHAMA FULANI
 
Mkuu uko sahihi kabisa. Vyama vingine vyote vilisema hakukuwa na tatizo. Chadema haikushiriki ule ujinga na ujinga ufuatao Cdm wamesema hawashiriki. Sasa maridhiano ni kati ya nani na nani? Au watatuita wananchi wote pale Benjamin Mkapa ili tukafanye maridhiano! Maridhiano huku kiongozi wetu mkuu yuko gerezani?
 
Ccm ni genge la majinga. Wanaweza kuchukua ile katiba ya 77 wakaipa jina KATIBA MPYA. C uliona ile tume ya uchaguzi waliibatiza TUME HURU YA UCHAGUZI!
CCM Wahuni sana, Watakuja na katiba yao inasema wakuu wa wilaya na wakurugenzi watateuliwa na waziri wa TAMISEMI anayeteuliwa na rais halafu watasema hiyo ndio katiba tayari na wameshaondoa urais wa kifalme
 
Majadiliano kuhusu maridhiano ni baina ya CCM na CHADEMA! Wanaotakiwa kuridhiana ni hivyo vyama viwili! Kuwaacha CHADEMA kwenye majadiliano ni kuongeza matatizo mengine! Tupo hapa tulipo na Kila dhahma iliyotokea chanzo Chake ni CCM kuidharau CHADEMA! CCM imejikuta shimoni inachotakiwa kufanya ni kuacha kuchimba zaidi!
 
Tatizo la CCM ni kutokufikiria, ukiwaondoa CHADEMA kuandika katiba mpya au maridhiano, Umewaomdoa takriban watanzania milion 15 kwenye mchakato wa maridhiano au katiba mpya.

Hauoni kama unakua unajifurahisha tu, ila tatizo linabaki pale pale.
 
Fanyen maridhiano wenyewe na muandike katiba yenu sasa unawashwawashwa kuitaja chadema unafikiri ni chama cha madalali nguruwe wewe, by the way vipapatio vya ajira na ruzuku wameshindwa kukupa wewe unahangaikia chadema. Nguruwe kasoro mkia.
 
Leta ushaidi wa mihamala ya watu kulipwa tofauti na hapo unakua kama ndege Kasuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…