CHADEMA walichagua rangi nzuri sana!

CHADEMA walichagua rangi nzuri sana!

Kwa ajili ya:

1. Bendera

2. Sare

3. Combat

Wangetafuta viatu na soksi sasa.

Hongereni sana.

Maendeleo hayana vyama!
FB_IMG_1619042485662.jpg
 
Najua rangi za bendera ya taifa zinamaanisha nini ,
Mwenye kujua maana ya rangi za bendera ya CHADEMA anisaidie tafadhali.
 
Back
Top Bottom