Alex Bahati
New Member
- Aug 16, 2019
- 0
- 285
Kuelekea Mwisho Mwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Hapa Tanzania Kumekua na Matukio mbalimbali ya Wagombea Urais ,Ubunge , Udiwani huku kila mmoja akitamba Kuchukua Dola Huku Chama Kikongwe CCM Kikitamba Kuendelea Kushikilia Dola Ambayo kiuhalisia Wanayo Toka Mwaka 1961.
Mchuano ni Kati Ya Vyama 14 Dhidi ya Chama Cha Mapinduzi CCM , Tafiti zinaonyesha Ccm inakubalika zaidi ya Vyama Vyote kwa Asilimia 81% huku Vyama Vingine vikigawana Asilimia zilizobaki Huku Tanzania Visiwani Hali ipo Hivyo hivyo hali hii sio miujiza ni Maandalizi na Mikakati ya CCM toka Uchaguzi wa Mwaka 2015 CCM imebadilika kwenye Kunadi sera zake na kujikita zaidi katika Utatuzi wa Matatizo ya Watu kuliko Propaganda kama Ilivyozoleka Mwanzo
Kwanini nasema hivi?
Ni Hivi Kwa Mujibu wa Mfumo wa Uongozi wa Taifa Letu Kuna Viongozi Wa Chini Kabisa Ambao ni Mabalozi, Wenye Vitongoji, Mweyekiti wa Kijiji au Serikali za Mtaa Mpaka Tunavyozungumza Muda Huu Kati 98% Viongozi hawa ni Wanachama Wa Ccm na hawa ndio Injini ambayo CCM wanaitegemea Kuwapa Ushindi Wa Kishindo kati ya Asilimia 81-86% na Huu Mtego Vyama vya Upinzani awataki kuelewa wala awataki kupata ukweli Huu Unaitaka Dola ila 98%ya Viongozi wa Serikali ni CCM hii Dola unaipata? Huna Hata Mwenyekiti wa Kitongoji Unaitaka Dola? Hili ni moja ya Tafsiri sahihi ya Vyama Vya Upinzani Wakati Huu Vinapambana kuondokana kwenye Kifo Cha Asili kinachowakumba Wakati Huu
Pili, Hama hama ya Viongozi wakiwemo Madiwani na Wabunge Kwa Kipindi Cha Mwaka 2016-2019 Hili Wengi wanalipuuza ila Kihalisia Watu wengi waliowachagua Watu hao hawana tena Imani ya Moja Kwa Moja Kwa wagombea wa Vyama Hivi Kwa Maana Baada ya Uchaguzi hata Hilo linaweza jirudia Kuunga Juhudi Mkono Wapo wanaodai wananunuliwa swala la Kujiuliza Kama leo Hii Mbunge ananunuliwa Na Serikali Je Wakipata Nafasi za Juu Wataacha kuuza Taifa hawa? Je Chama Hiki kimeshindwa kuwapata Vijana wenye Nguvu na Mioyo Sahihi ya Kukipigania Chama Bila Maslahi yao Binafsi?
HII ni Moja ya Aibu Ambayo wanaificha Ila Wananchi wengi wamekosa Imani sana na Wagombea wa Chama Hiki na Vinginevyo vinavyokabilina na Ccm. Hivi ni Kijana Gani mwenye Uchungu na Chadema kama alivyokua Mzee Joseph Selasini? , Je Anton Kalist Komu? hawa Wameondoka Ndani ya Chama hiki ukweli ukifichwa lakini uwazi wa Uonevu na Uimla wa Viongozi wa Juu wa Chama Hiki Ni Kweli Yeriko au Kaka Yangu Malisa G ana uchungu na Mapito Magumu kuliko Watu hawa ? au W. M. Lwakatare aliwahi kupewa Tuhuma Za Ugaidi na Kusota Rumande?🙆🏿♂️
Tatu Wapinga Maendeleo Ya Kila Kinachofanyika Mbaya zaidi wakasahu wao ndio walikua wataalamu wa Kuibua Ajenda zenye mashiko Hata Mgombe Urais wa CDM Mika ya Nyuma Alikua mtetezi wa Wachimbaji wa madini hasa wadogo wadogo na alikua anaonyesha machukizo yake ya Makampuni ya Kigeni yanavyokwapua Madini ndani ya Taifa Hili ila Leo Kwanzia Mgombea Mpaka Vijana watafiti wa Chama Hiki wako Tayari kuweka Rehani Madini ya Taifa hili , Yapo mambo mengi sana ambayo kimsingi ni msukumo wa maendeleo Shirkikishi Uwezi kuwa mchumi au Mtu Timamu ukapuuza Maendeleo ya Vitu na Kudai havina msaada kwa Watu muulize kituo Cha Afya au Mradi wa Umeme Vinatumiwa na Mizimu au Ngombe? Hili Jambo la Kupinga kila Jambo na kufanyia kila Jambo Jema Siasa ni moja ya Misumari kwenye Jeneza hili la CHADEMA.
Nne Tishio la Amani na Utamaduni wa Mwafrika , Hili ni la Kukemea kwa Nguvu hasa Viongozi wetu wa Kidini na Kimila Tusifanyie michezo Amni yetu wala Utamaduni wa Uafrika kwa Tamaa za Madaraka , Leo hii Wapo watu wanadiriki kutishia watamwaga Damu kwenye hili Taifa Huku wakificha watoto wao mataifa ya kigeni je kwanini wasiandamane sambamba na Familia zao Barabarani? Mnakumbuka Tukio la Arusha? Wengi wamesahau muulizeni Lema au Dr Slaaa Wanaikumbuka ile Familia iliyopoteza Yule Mama?
Leo Kiongozi Tena Mgombea Urais anadai Mapenzi ya Jinsi Moja ni Haki ya Mtu kwa Mujibu wa Katiba Muulizeni Katiba imeruhusu wap Usodoma Huo? Muulizeni Yeye Ni mkatoliki Dini yake inasemaje kuhusu Tabia hizo? Cha Kushangaza Baadhi ya Watumishi wa makanisa awamekemei wengine kuungana nae katika sera hizo ambazo ni kinyume na Matakwa ya Kiimani na hata Chukizo kwa muumba wetu Mungu Baba Wanataka kutuletea sodoma na Gomora kama wazungu walivyoshindwa kukabiliana na Corona
Ni Ushauri tu mdogo Wagombea Wa Ubunge wa Vyama Vyote 14 tarehe 27 mumuunge Mkono Rais Magufuli kuepukana na aibu Ya Kushindwa Vibaya japo nafahamu wengi wao watahamia Ccm baada ya Uchaguzi baada ya kushindwa Vibaya