Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Vijana na wazee wa CCM hawana aibu, hawajawahi kuwa na aibu na hawatakuwa na aibu. Msipoangalia wagombea wa CHADEMA ambao hawajaenguliwa baadhi watauliwa na wengine kupewa ulemavu wa kudumu.
Hebu muiache CCM itawale wa uhuru. Pelekeni maombi kwa msajili wa vyama vya siasa akifute CHADEMA labda CCM wakikosa upinzani watafocus kwenye maendeleo.
Kuna shughuli nyingi za kufanya nje ya siasa. Kila mwananchi ana familia yake, awajibike kwaajili yake na familia yake. Nyie viongozi wa upinzani ngazi za juu mna ulinzi, vipi viongozi wa matawi na kata?