Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 648
- 1,485
Binafsi naamini kampeni zinapaswa kuanzwa mapema kwa jambo lolote lile kama nia ni kushinda.
CCM wameshateua mgombea Urais tayari japo sijui kama sheria ya uchaguzi inawaruhusu kafanya hivyo kabla ya ratiba na tangazo la uchaguzi kutoka tume.
Chadema mpaka sasa haijulikani mgombea ni nani wakati CCM wameshaanza kampeni kwa msingi wa utambulisho. Ni vema chadema nao wakaanza mchakato wa uchaguzi ili kunogesha uchaguzi wa mwaka.
Kwa maoni yangu CHADEMA wafuate mfumo wa primaries kama wa Wamarekani ili pachangamke