Chadema polepole wameanza kutumia Media vizuri zaidi. Tofauti na CCM ambayo viongozi wao wamejiweka kama vigogo wenzao Chadema wamejiweka kama watu wa kawaida. Huwezi kumsema mtu ni wa fujo wakati unaenda kula naye Ugali tena nyumbani kwakwe.
Viongozi wa Chadema wamejitahidi sana kuonekana ni watu wa kawaida. Kikwete ndiye pekee wa CCM aliweza hili lakini viongozi wengine wa CCM wamejificha ficha watu hawajui family zao mfano hakuna mtu anajua familia ya Mchimbi, Kinana na hata Samia vizuri .
Lissu , Heche , Mnyika, Lema ni rahisi kuwapata kuliko viongozi wa CCM wa juu . Kwa utamaduni wetu hatuamini watu ambao hatuwafahamu.
Huwezi kusubiriwa kuongelewa na makada kila siku kwa wakati huu wa Media hizi ni lazima viongozi waji changanye na wawe wawazi.
Pili Chadema hawajafanya ziara hata mmoja lakini ujumbe wao ndiyo unaongelewa na sio agenda za CCM. Kwa sasa mfano wamegundua Wasira hakuna watu wanamchukulia kwa maanani kabisa.
Nchimbi na Samia wamejiweka juu sana kuliko watu. Ziara ya Mama Samia huko Tanga ni zile za kusomba watu waende kumwangalia lakini kwenye siasa watu wanaongelea Chadema na sera zake.
Tatu ni kuhusu chaguzi huru. Hakuna hata mtu mmoja ameweza kutetea kwamba chaguzi za 2019, 2020 na 2024 zilikuwa na huru na haki kwasababu sio kweli. Media sasa wamepewa data na Lissu ambazo hazipingiki na hata CCM wameahidwa kujibu tofauti na data za Lissu.
Chadema wamewapa data Media yetu ambayo imejaa vijana ambao walikuwa wanalishwa maneno. Sasa wameanza kulishwa data za ukweli kiasi kwamba wakienda kwenye vipindi wanajadili data. Media za sasa ni online zaidi huwezi kuzizuia kama zamani.
Kwa mawazo yangu serikali na hata CCM wekeni sheria nzuri za chaguzi huru. Hata Chadema kwa sasa hawajasema katiba yote ibadilishwe bali wanasema sheria za uchaguzi zibadilishwe bila hizi huko mbele sio kuzuri.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ukweli ni kwamba Watanzania zaidi ya 50% wana amini chaguzi tatu zilizopita hazikuwa na huru na haki na moja ya 2024 ni chini ya Mama Samia!
Mama Samia akilazimisha chaguzi kwa mazingira haya hata pata heshima ambayo anayo sasa. Ataonekana Raisi fake na dikteta wa kwanza mwanamke sijui kama anataka hivyo. Inawezekana kabisa atawekewa vikwazo.