CHADEMA wamekatazwa kukusanyika lakini mikusanyiko ya viongozi wa CCM inaendelea

The Saver

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
202
Reaction score
651
Kwani Serikali inakuwa na Nogwa na CHADEMA wanapokutana katika mambo yao ya katiba mpya na CHADEMA digital lakini wao hata baada ya kuweka katazo la kuwa na mikusanyiko lakin bado wao wanakusanyika

Je na CHADEMA waendeleze mikusanyiko yao ya kutoa elimu ya katiba mpya na CHADEMA digital?

USHAHIDI WA MIKUSANYIKO BAADA YA KUTOA KATAZO

1. Leo Ridhiwani akiwa na wananchi wa kiwangwa bila hata tahadhari yoyote ya afya




2. Waziri uwezo akizindua mradi wa wananchi na mikusanyiko bila ya taadhali ya kiafya



3. Waziri Ummy Mwalimu akiwa sengerema bila ya taadhali yoyote muda mwingine a navaa barakoa muda mwingine havai, sasa hii inatufundisha nini? Kwanini serikali inakuwa na Nogwa na CHADEMA wakifanya yao?




4. Leo Waziri mkuu alikuwa mgeni rasmi kwenye #crdbMarathon pamoja kuwa yupo michezoni lakin kwa muongozo wizara watu inabidi watu wavae barakoa katika mikusanyiko





MWISHO ndio maana watu wanaona kuamasisha kwenu ni maigizo na mnafanya uonevu kwa watu wengine

Pia NDIO MAANA HATA KWENYE DALADALA ZA DAR ES SALAAM wananchi wamewapuuza

Wito: SSh Hacha uonevu kwa wengine dunia ni mapito
 
Huko Zambia upinzani unakaribia kushika dola hapa tz bado tunalea watu wanao tuchezea mpaka machoni wana jeuri mpaka hata tukilalalamika jambo fulani tunaonekana tunaleta chokochoko.[emoji24][emoji24]
 
Tafsiri sahihi ya kuupiga mwingi. Katika soka kuna matokeo ya aina tatu ambayo ni yumkini, yaani kuna sare, kushinda ama kushindwa.

Kwa kadiri muda unavyo yoyoma huku umepigwa bao, na wewe unaendeleza "mpira biriani" kufurahisha mashabiki wako huku umelala, hapo ndipo tunasema unaupiga mwingi.

Ni vyema kujikita katika mambo yenye tija na matokeo kuonekana wazi. Suala la kutafuta visingizio ili kuhalalisha "failures" ni utopolo mtupu [emoji2957][emoji43][emoji15]
 
1. Ridhwani yuko Jimboni kwakem Mbowe anatafuta nini Mwanza?
2. Mawaziri ni serkali, kazi za serkali hazisimami.
3. CCM ni chama tawala, wanafuatilua Ilani waliyotumwa na Wapigakura

Hatuna lockdown, nawa mikono,va a barakoa, distance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…