Elections 2010 Chadema wamepata viti vingapi mpaka sasa?

silver25

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
743
Reaction score
44
JAMANI E NAOMBA MUNIPE MSTAKABALI WA USHABIKI TUNAOUSHABIKIA,, MAANA ISIJE KUWA TUNASHABKIA VUMBI KUMBE JAMAA KAKUACHA PAKUMBWATU..

NAOMBA NISAIDIWE MAJIMBO MANGAPI YALIYO CHUKULIWA NA CHADEMA KUTOKA CCM na Wabunge wangapi mpaka sasa ambao wapo chali :israel::sad:
 
jamani eeeh wacheni utani hadi Dada yetu Mary Nagu yakweli haya?
 
Jamani napenda kukumbusha naomba mtu anaye jua chadema imepata viti vingapi vinavyokwenda kutuwakilisha bungeni kuendeleza mapambano ya kimaendeleo?
 
jamani hayo juu ndiyo majibu ya thread husika?........mbona utani hivyo?..msaidieni wenye data kamili
 
Sasa jamani munanipa au ndo kimya?
 
subiri yanaendelea kuchakachuliwa, kaa tuli kama kondoo.
TULIA
 
Sasa jamani munanipa au ndo kimya?

Kama na wewe utatoa na sisi tutakupa naona umeamua kujaza mi thread isiyo na kichwa kwani hufatilii kwenye thread zilizoanzishwa mwanzo?
 
24 majimbo ambayo chadema imechukua hadi sasa

MASWA MASHARIKI
ARUSHA MJINI
MEATU
NYAMAGANA
MASWA MAGHARIBI
IRINGA MJINI
MOSHI MJINI
ILEMERA
MBOZI MAGHARIBI
MBEYA MJINI
MBULU
UBUNGO
KARATU
UKEREWE
ROMBO
HAI
SINGIDA MASHARIKI
KIBONDO
ARUMERU MAGHARIBI
BIHARAMURO MAGHARIBI
MUSOMA MJINI
KIGOMA KASKAZINI
KAWE
BUKOMBE
 
Sokomoko sikukuambia uje uchangie kwenye hii thread kakojoe kalale
 
Oooo thaanks thaanks very much nashukuru sana, nisengwire sana gom apso mnita,, mbaya
 
thank you kwa taarifa, ila hebu hakikisha ARUMERU MAGHARIBI. Kama nakumbuka vzr CCM wamelichota hili jimbo.
 
KILOMBERO ...imeongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…