CHADEMA wamepoteza dira kuwaambia Watanzania kususia huduma na bidhaa ili Serikali ikose mapato

Ukiwa na akili timamu huwezi wasikiliza CDM wameshikwa pabaya sasa wanatafuta attention kwa lazima na ambavyo serikali imetangaza ajira za ma pot ndio wamechanganyikiwa kabisa
 
Watu wenyewe majinga tu kama lema. Yamejaa ubinafsi yanataka utajiri juu ya migongo ya wengine kwa kuwalaghai. Lema inadaiwa alikuaga mwizi wa magari akapata hela. Akaona asijihatarishe siasa kuna hela rahisi. Sasa kaona kakwama ubunge kachagua ukimbizi wazungu wanampa hela anaishi na kusomesha watoto wake canada. Lissu naye hivyohivyo. Bahati nzuri umoja wetu watanzania hatutetereki kuharibu nchi yetu kuikosesha amani. Hata hao wasanii wa siasa naona kama wanawafanyiaga usanii mabeberu kula hela zao bila kumwaga damu ya watanzania. Mungu ibariki tanzania.
 
Chadema hawajawahi kuwa na ajenda ya kueleweka wao ni kukurupuka tuu, wao wanaita kubadili gear angani.
 
Ndoto za alinacha hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…