Chadema wamesahau kutuambia sasa hivi Polisi wameizingira makao makuu yao.

Chadema wamesahau kutuambia sasa hivi Polisi wameizingira makao makuu yao.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Mbowe alikuwa anasema asubuhi hii watakwenda kwenye ofisi yao ya Mikocheni lakini polisi wapo pale.
Video zipo YouTube.
 
Chadema walitoa hii taarifa tangu asubuhi, katika ukurasa wao wa X
 
Inabidi battle(us ambassador) aingilie kati.amwambie ukweli kizimkazi mambo anayoifanya ni ya kishamba.maana mabeberu ndiyo anayoyaogopa.
 
Back
Top Bottom