Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Sep 24, 2024 #1 Mbowe alikuwa anasema asubuhi hii watakwenda kwenye ofisi yao ya Mikocheni lakini polisi wapo pale. Video zipo YouTube.
Mbowe alikuwa anasema asubuhi hii watakwenda kwenye ofisi yao ya Mikocheni lakini polisi wapo pale. Video zipo YouTube.
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,158 Reaction score 7,787 Sep 24, 2024 #2 Chadema walitoa hii taarifa tangu asubuhi, katika ukurasa wao wa X
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 3,447 Reaction score 8,896 Sep 24, 2024 #3 Inabidi battle(us ambassador) aingilie kati.amwambie ukweli kizimkazi mambo anayoifanya ni ya kishamba.maana mabeberu ndiyo anayoyaogopa.
Inabidi battle(us ambassador) aingilie kati.amwambie ukweli kizimkazi mambo anayoifanya ni ya kishamba.maana mabeberu ndiyo anayoyaogopa.