kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Nchi hii hakika ina vioja. Wabunge wametemwa na chama chao kwa kugushi na kujiteua viti maalum.
Ajabu mwaka wa tatu umeanza na kesi yao ndio kwanza mbichi serikali ndio mtetezi kwa bunge wanaolimiliki kuwakingia kifua. Ni kitu cha ajabu sana.
Watu wanakula mishahara na posho huku hawana chama wanakiwakilisha bungeni.
Hila zinapangwa wanaendelea tu na ubunge hadi watamaliza miaka mitano na kisha kulipwa kiinua mgongo mamilioni ya shilingi.