mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
CHADEMA baada ya kuona Sera zote muhim walizo kua wakizitoa kwa wanach Apo awali zote zimesha fanyiwa kazi na CCM wameona ni Bora kubadili Aina ya siasa zao kutoka siasa za majukwaan mpaka maigizo na mitandao. Juz palitokea seke seke la viongoz wa CHADEMA kukamatwa na ikawabid watoke kwa dhamana.
Kweli walifanikiwa kupata dhamana Ila kwa gia kwamba wamechangiwa na wanach kitu ambacho si kweli Kwan hamna mwananch wa kawaida Alie changia hata mia Ila wanachama wao ambayo hawakuweza kufikisha hata m1 ikabid wapitishe bakul la mkopo mwenye taasisi mbalimbal ambapo walipata kias kidogo ambacho kingine kilitoka kwa mh rais wakafanikiwa kutoka. Walipo Toka wakaja na tambo nying kwamba wamechangiwa na wanach uku wakionesha risit moja ya bank tu zingine sijui waliziweka wapo
VURUGU ZA ALIMA MDEE NA WENZAKE
Kama mtu utakua ulikuepo kipindi wanatoka makao makuu kwenda segerea kumpokea mboe na pia ulikuepo walio fika segerea ndio utajua kua Hawa watu ni wakavu wa macho na hawana aibu sababu wanajiita chama pendwa Cha wananch alafu kwenye matukio Yao ambayo wanatakiwa wawe na wapenz wao wanach wanao wapenda hua wanakua wao Kama wao Yan ukiwaangalia kwa haraka haraka utasema Hawa majamaa machizi.
Wanasema raia wamechoka rais wakat akipita wananch wanajaa barabaran kwa umbal Zaid ya KLM sita mipaka 7 ili tu wamuone rais wao alafu anatokea mtu anasema raia hawapend Rais wanatupenda sisi alafu akipita sehemu wanamuangalia Kama hamorapa tu hata akisema autubie jimbon kwake wanamsikiliza WANACHAMA Wake tu
PICHA. ZA MBUNNGE WA CHADEMA KUPIGWA
Kama nilivyo sema Apo juu chadema wameona wawekeze Sana kwenye siasa za picha na mitandao sababu wanajua kabisa watanzania hawawez kuwapa nch so wameamua kwa nguvu zote kutaka mabeberu ndio wawaamulie mshind Nani ndio maana wanafanya kila aina ya maigizo leo inasambaa picha et Kuna mbunge alikua anavutwa na Askari magereza kupelekwa ndani ili apigwe kitu ambacho Sio kwel ukwel ni kwamba alikua anatokea eleo la ambalo walikua wanafanyia vurugu na kurudishwa kwenye magar ya m4c na wote walikua wanajua nn wanaenda kufanya ndiomana alipo fika pale eneo alilo his picha za kamera Man wao aliopo kwenye gar zitampata vizuri akaanza kuweka poz ndiomana alipo fika pale akajiangusha Chin uku kamera Man na mdada mmoja ndani ya gar wakiwa wanachukua video na kupiga picha uku wakisema mm nimewapata vizuri takutumia kwenye namba yako
CHADEMA msitake kuliangamiza taifa kwa uroho wenu wa madaraka Kama kwel mpo sababu ya wananch Basi inabid mtulie tu kwasababu sasahivi WANANCH hawawaitaji nyie jijengen pangen hoja zenu vizuri waelezen wananch Sera zenu labda watawafikiria kua upande wenu Sio mnalazimisha visivyo wezekana mmeona wananch mnao wataja kila siku hawawaung mkono mmeona Bora mtumie nguvu kuwalazimisha mabeberu wasitoe misaada il tu wananch wawe na maisha magum wachague kuitoa serekal kuwapa nyie nch au kufa kwa njaa lakin tunamshukuru mungu nch hii anailinda. Pambanen na CCM sio wanach wewe unae taka watu wasipewe misaada kisa tu unataka nch wewe utakua shetan. Matukio yenu yalio pita yawe somo kwenu wanach hawawataki jaman
Sent using Jamii Forums mobile app