Binafsi nilishangazwa na namna walivyokuwa wakivuana nguo kila upande kati ya wafuasi wa mbowe na Lissu.
Ijapo Mbowe alionesha ukomavu sana licha ya kuambiwa mwizi bado amekosa mvuto kabisa kwa wafuasi wake.
Odero alionesha ukomavu zaidi ya lissu kwani aliwasihi wanachadema wawe na staha na kuchagua maneno ya kusema.
Huku ninakoishi vijana wengi wamedharau sana mapambano ya maneno na hata vile Lissu alivyosema kwamba kuna mambo anayaficha tu kwani akiyasema chadema itasbaratika.
Kauli hiyo inaonesha wazi kuwa hii chadema ni kikundi cha kisiasa chenye lengo la kuwaimarisha viongozi kiuchumi.
Kutokana na hilo, watu wengi wameanza kuona kumbe wanachezewa tu akili ila hakuna chama makini hapo