Pre GE2025 CHADEMA wamestuka wakiwa tayari wamevuana nguo, ni uongo kuamini watabaki imara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Binafsi nilishangazwa na namna walivyokuwa wakivuana nguo kila upande kati ya wafuasi wa mbowe na Lissu.

Ijapo Mbowe alionesha ukomavu sana licha ya kuambiwa mwizi bado amekosa mvuto kabisa kwa wafuasi wake.

Odero alionesha ukomavu zaidi ya lissu kwani aliwasihi wanachadema wawe na staha na kuchagua maneno ya kusema.

Huku ninakoishi vijana wengi wamedharau sana mapambano ya maneno na hata vile Lissu alivyosema kwamba kuna mambo anayaficha tu kwani akiyasema chadema itasbaratika.

Kauli hiyo inaonesha wazi kuwa hii chadema ni kikundi cha kisiasa chenye lengo la kuwaimarisha viongozi kiuchumi.

Kutokana na hilo, watu wengi wameanza kuona kumbe wanachezewa tu akili ila hakuna chama makini hapo
 
Mimi niliwambia wanavyosemana vibaya namna ile basi tutawaita kundi la wahuni sasa. Maana ni mhuni tu humtisha mhuni mwenzie kwamba akileta 'vyoo' atamsema siri zake mbaya.
 
Lisu ni majungu tu. Ni mtaalamu wa kuvua watu nguo kwa sana. Mbaya zaidi akamshirikisha nabii Lema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…