Chadema wamewasaliti Watanzania

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Angalia leo hii tunaambiwa taifa letu linakusanya tozo kodi na ushuru kibao. Zaidi ya tril 1.3.

Wananchi hawana hakika hata ya kula ugali dagaa. Wananchi wanaishi maisha duni.

Ufisadi umetamalaki na huyo rais anayejinasibu yupo na maridhiano hana uchungu na raia wanaoteseka kwa umasikini.
 
Hakuna Vita inayomalizwa uwanja wa Vita isipokuwa Mezani.

Wamechagua njia nzuri kumaliza Vita zao, by the way hakuna awezaye kushindana na Dola akashinda.
 
Kama CCM ni ya mafisadi, basi wana CCM wote ni mafisadi na kama wana CCM wote ni mafisadi, hilo ni tatizo la watanzania wote na wala si CHADEMA. Kwani kabla ya CHADEMA kukaa na CCM mbona hatukuona haya mambo ya kusema watanzania wamesalitiwa. Kile kikosi kazi cha kina Zitto ushakisahau mara hii!!??
 
Kwani Chadema wanakusanya kodi? Hivi wewe zinakutosha kweli? CCM yako ndiyo imewasaliti wananchi kwani inawakamua kodi halafu inazifuja kodi hizo,kuilamu Chadema kuwasaliti wananchi ni utaahira uliotukuka.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Chadema sio tu tumkatae Mbowe peke yake! Bali hata wafuasi wake kwa sababu ya viongozi wenu wakuu kuunga mkono suala la laana la mapenzi ya jinsia moja yaani USHOGA!

Si wewe wala Mbowe na Lema! Wote mpigwe laana, Na laana hii ikishukie hiki chama kipasuke pasuke kwa sababu kinataka kushindana na Sheria za Mungu
 
Bora umepigwa ban huna adabu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Chadema haiwezi kupigani wapumbavu.
 
mashoga ni nyinyi wapumbavu wa ccm mnaompeleka mamayenu kukopa kwa mashoga na kesho kutwa anatembelewa na makamu wa rais kutoka kwa mashoga hivyo ccm ni mashoga yanajipendekeza kwa mashoga wenzao kama mapumbavu.
 
Kwani Chadema ndio wakusanyaji wa mapato ya nchi?
 
mashoga ni nyinyi wapumbavu wa ccm mnaompeleka mamayenu kukopa kwa mashoga na kesho kutwa anatembelewa na makamu wa rais kutoka kwa mashoga hivyo ccm ni mashoga yanajipendekeza kwa mashoga wenzao kama mapumbavu.
Muulize Lema kama atakubaliana na wewe hoja hii kwamba chama chenu kinapinga suala la mashoga!

Jambo lingine ni kuwa! Matusi hayoo yoote sijui ya pumbavu, sjui huna akili, yote yalitungwa kitambo saana! Wewe huna mapya?
 
Sio chadema tuu hata nawewe unaweza kutugombowa kamanda mchovu
 

Sasa unailaumu CHADEMA kwa lipi?. Maana Kodi anakusanya CCM lawama anapewa CHADEMA.
 
Kati ya vyama vyote wewe unaiona CHADEMA tu. Shughuli a na CCM yako.
 
Lema alisema ugali ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…