Chadema wamfanyie Hitma Mohamed Kibao na kutubu kama walimkosea Kwa lolote vinginevyo AIBU zitawaandama Daima, kile Kisomo kimeshawafikia!

Chadema wamfanyie Hitma Mohamed Kibao na kutubu kama walimkosea Kwa lolote vinginevyo AIBU zitawaandama Daima, kile Kisomo kimeshawafikia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kinachoendelea Chadema siyo tena hekaheka za Uchaguzi Bali ni kama Kuna Laana Fulani

Chadema wamfanyie Hitma Mohamed Kibao Kwa sababu Kwa ajili ya Chadema Meddy aliuawa

Nakumbuka Simba SC Walikuwa wanafanya Hitma Kwa wanaoifia Kilabu NAMI nilishiriki Hitma ya Hussein Tindwa aliyefia Uwanjani akiipigania Simba Kimataifa dhidi ya Racca Rovers au Union Doula sikumbuki vizuri

Chadema itakufa huku tunaiangalia

Ahsanteni Sana 🐼
 
Back
Top Bottom