Mwiba JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 7,607 Reaction score 1,750 Dec 20, 2010 #1 Jamani eti ni kweli kuwa Chadema wamemuhujumu Zito ,niliona kwenye gazeti baada ya kutoka kwenye karamu ya chadema alikimbizwa hospitali na hivi sasa nahisi yupo Ujerumani kwa ajili ya matibabu.
Jamani eti ni kweli kuwa Chadema wamemuhujumu Zito ,niliona kwenye gazeti baada ya kutoka kwenye karamu ya chadema alikimbizwa hospitali na hivi sasa nahisi yupo Ujerumani kwa ajili ya matibabu.