johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ya kweli haya?
We jamaa hivi umepita shule kweli?
Mbona Sugu huwa anaongelea mambo ya Chadema mkoa wa Mbeya!Toka lini mbunge wa viti maalum akaawa msemaji wa chama ngazi ya mkoa!
Hii itakuwa ni propaganda kuelekea uchaguzi maana wabunge viti maalumu inaonekana wengi wameshanunuliwa na wanatumika kumutafutia Magufuli uhalali ambao hana.
Bwashee huyo mama ana baraka zote za Chadema mkoa.Lazima afukuzwe chamani huyo,si kawaida
Anaongelea jimbo na siyo mkoaMbona Sugu huwa anaongelea mambo ya Chadema mkoa wa Mbeya!
Sugu anaongelea hadi mambo ya Kyela au jimbo lake ni mkoa mzima!Anaongelea jimbo na siyo mkoa
Kwani chadema ina msemaji maalum pale kila mtu ni msemaji kwa wakati wake iwe lema, h. Mdee, bulaya sugu nk yoyote tu yule alie karibu na Mbowe ni msemajiToka lini mbunge wa viti maalum akaawa msemaji wa chama ngazi ya mkoa!
Hii itakuwa ni propaganda kuelekea uchaguzi maana wabunge viti maalumu inaonekana wengi wameshanunuliwa na wanatumika kumutafutia Magufuli uhalali ambao hana.