Naona kama mawakala wa upinzani watafanyiwa mambo haya matatu.
Moja: Wanaweza kuhongwa na CCM kuuangamiza upinzani, sioni wakala aliyeko kijijini kama ana uwezo wa kukataa laki tano apindishe matokeo.
Pili: Watazuiliwa kuingia vyumba vya kuhesabia kura kwa kisingizio kuwa hawana barua za uthibitisho wa vyama.
Tatu: Wapo watakaotekwa
Mkuu nzotangai , karibu, mitaa hiiUnajua ndugu Paschal Mayalla, tunajua kwamba CCM itashinda kwakuwa hakuna haki.
Hilo liko wazi kwani hata 2015 hawakushinda bali walitumia mtido huo wakujitangaza washindi regardless matokeo halisi. Sio kwenye ballot box.
Watajitangaza washindi kwani Referree na Commissar wa match ni hao hao Makada watiifu wa CCM. Unategemea mkurugenzi wa Mkoa au Wilaya ambaye ni kada wa ccm amtangaze mpinzani? Unategemea mwenyekiti wa tume ya Taifa ya uchaguzi ambaye ni kada wa ccm amtangaze Lissu? Itakuwa ajabu. (Lakini tutaona yote.)
We don't expect anything less than that.
Kama kungekuwa na Uhuru wakuhesabu kura Kama zilivyopigwa na kutangaza matokeo Kama yanavyopatikana kwenye box la kura, CCM hampati hata 25%.
This time hawadanganyikiNaona kama mawakala wa upinzani watafanyiwa mambo haya matatu.
Moja: Wanaweza kuhongwa na CCM kuuangamiza upinzani, sioni wakala aliyeko kijijini kama ana uwezo wa kukataa laki tano apindishe matokeo.
Pili: Watazuiliwa kuingia vyumba vya kuhesabia kura kwa kisingizio kuwa hawana barua za uthibitisho wa vyama.
Tatu: Wapo watakaotekwa
We nae umekuwa kama kipofu usiyeona au kutojua kitu na maandiko yako ya kujipumbaza, unataka kusema kwenye chaguzi zetu amna wizi wa kura vituoni ?Mkuu nzotangai , karibu, mitaa hii
Uchaguzi 2020 - Ili kuondoa kelele za kutotendewa haki, nawashauri CHADEMA na ACT wekeni Mawakala kila Kituo ili kujiridhisha, Uchaguzi Mkuu ni huru na wa haki
hapa nimezizungumza hoja zako, kura zinapigiwa kituoni, zinahesabiwa kituoni na matokeo, yanabandikwa kituoni, huo wizi wa kura unauzungumzia, unafanyikia wapi?!.
P
Una muamini Mungu feki ndio maana anashindwa na ataendelea kushindwa na mwanadam.Kila figisu itafanyika (na imeshaanza kufanyika, mfano kuengua wagombea) ila ninachojua apangalo Mungu mwanadamu hawezi kulipangua.
JESUS IS LORD!
Naona kama mawakala wa upinzani watafanyiwa mambo haya matatu.
Moja: Wanaweza kuhongwa na CCM kuuangamiza upinzani, sioni wakala aliyeko kijijini kama ana uwezo wa kukataa laki tano apindishe matokeo.
Pili: Watazuiliwa kuingia vyumba vya kuhesabia kura kwa kisingizio kuwa hawana barua za uthibitisho wa vyama.
Tatu: Wapo watakaotekwa
HAYAKUHUSU! UNATABIRI YA WENGINE YA KWAKO UMEMALIZA?Naona kama mawakala wa upinzani watafanyiwa mambo haya matatu.