johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nilitegemea Viongozi wa CHADEMA wangekuwa busy kujipanga na uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Kumbe nilikosea Sana wao wako busy kuzusha Uwongo Kwamba Kura za maoni CCM zinafeli kila Mtaa
Hawa CHADEMA ni kama Wamerogwa, tuwapuuze
Baadae Mlale unono 🐼
Kumbe nilikosea Sana wao wako busy kuzusha Uwongo Kwamba Kura za maoni CCM zinafeli kila Mtaa
Hawa CHADEMA ni kama Wamerogwa, tuwapuuze
Baadae Mlale unono 🐼