Ccm ni wakoloni wabaya kuliko wale walioondokaSiasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba
Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.
Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.
Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.
Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.
Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
kwani kwa sasa chini ya CCM hakuna mahusiano ya kiutegemezi kati ya nchi hii na wazungu ?Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba
Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.
Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.
Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.
Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.
Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
kwa hiyo bora wazungu wanaolinda mashoga na malesbian kwa mujibu wa katiba zao kuliko waarabu wanaofilana kwa kuficha ficha ?Kuna mahali kumejaa mashoga kama uarabuni? Mpeleke mwanao akasome huko uone kama ataludi salama
Barua ishirini na tano za Kombo hazijaeleweka?Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba
Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.
Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.
Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.
Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.
Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Nani ameuza bandari na migodiSiasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba
Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.
Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.
Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.
Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.
Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Dadeki, hapa umeshavuta zako buku7 huna shida yoyote. Ila kuwa makini maana zitakuja kukutokea sehemu mbaya inchi ikipata ukomboziSiasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba
Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.
Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.
Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.
Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.
Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Watu wanalipwa kwa kupost issues za kuiponda Chadema. Umeshaona mtu anapost kuhusu Chaumma? Huko hupati buku7hakuna mwenye akili anayewafuatilia hao
Kuna watu mnaandika mpaka mtu unajiuliza kuwa huyu mtu anaishi Tz au yuko nje ya bara hili. Ila ukikumbuka kuwa kuna malipo basi inabidi tuwasamehe bureSiasa za Chadema ni za kuitakia nchi mabaya tu muda wote.
Mara vikwazo, Mara wazungu waje watutawale.
Hakuna fikra chanya toka kwa hawa watu.
Sijawahi sikia plan yeyote ya maana toka chadema namna watavyoleta maendeleo.
Zaidi ya kutukana hawataki tujue sera zao maana hazina tija yeyote.
Hata hao viongozi wenyewe nahakika hawafahamu ilani ya chama Chao zaidi ya kutukana viongozi na kuhamasisha vurugu.
Una ushahidi wa hilo?Watu wanalipwa kwa kupost issues za kuiponda Chadema. Umeshaona mtu anapost kuhusu Chaumma? Huko hupati buku7
Ushahidi wa malipo au ushahidi wa nini? Sijui kwanini watu wa buku7 wote wapo kama wewe. Eti unauliza ushahidi dah πππππUna ushahidi wa hilo?
CCM mmechokwa tu, hao chadema wenyewe hawana jipya ila ni vile raia zimewachoka, chadema wanatembea na upepo wa makosa yenu CCM, wanatembea na upepo wa raia kuwachoka.
Otherwise ni pumba tuUshahidi wa malipo au ushahidi wa nini? Sijui kwanini watu wa buku7 wote wapo kama wewe. Eti unauliza ushahidi dah πππππ
uchaguzi ni wako ufunike donda ndugu kwa matambala ama uliache wazi, huo ndio utofauti wa mzungu na mwarabu.kwa hiyo bora wazungu wanaolinda mashoga na malesbian kwa mujibu wa katiba zao kuliko waarabu wanaofilana kwa kuficha ficha ?
Chadema haikuuwa watanzania elfu 10 Oktober 29 ila ni CCM na vyombo vyake.Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba
Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.
Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.
Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.
Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.
Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Sina tatizo nikiona mzee kama ww anaishi kwenye propaganda outdated, tatizo langu ni kuona Bado kuna vijana wa ccm wanaamini katika propaganda hizi za kichovu. Tanzania haina raslimali zozote za maana, kama ingekuwa na hizo raslimali tusingeona tozo kwenye line za simu. Kwa propaganda hizi mfu mtawapata wazee tu.Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba
Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.
Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.
Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.
Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.
Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Huu ndio ukweliCCM mmechokwa tu, hao chadema wenyewe hawana jipya ila ni vile raia zimewachoka, chadema wanatembea na upepo wa makosa yenu CCM, wanatembea na upepo wa raia kuwachoka.