Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Kauli ya Mkuchika ni ya mwanasiasa inatolewa kutegemea na wakati husika.Unakataa nini ninapokuambia wanakukula? Kwahiyo ni kipi kinaendelea kwasasa kwenye mradi wa gesi mpumbavu wewe?mzee mkuchika nawewe nani anaejua kuhusu mradi wa gesi mpaka adiriki kusema watu wa kusini somesheni watoto Angalia gesi yenu imeenda
Nifanye kazi, unanilisha?Fanya kazi ukizama kwenye hizi propaganda za media utakuwa unaamka asubuhi na kwenda kulala usiku ukiwa na hasira kibao kichwani mwako.
Wakati mwingine jaribu hata kutumia akili ya darasa la nne'Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba
Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.
Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.
Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.
Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.
Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Dogo,Mnataka Tanzania iongozwe na mabwana zenu kisa kuna pesa mlipewa na hamjazifanyia kazi bado!.
Hamuwezi kutuingiza cha 'kike'.
Tumewashtukia lengo lenu haswa ni lipi.Dogo,
Hizi propaganda za kijinga ni za kizamani na hazina nafasi. Em kitulize