Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Toka janga la Covid19 lianze mwaka jana msimamo wa chama cha CHADEMA ulikuwa watu tahadhri zote zichukuliwe kama kuvaa mask na kuungana na jumuiya za kimataifa katika kupambana na ugonjwa huu ikiwezekana watu kuchanjwa.
Wabunge wa CHADEMA walipovaa mask bungeni walionekana wasaliti. Mwenyekiti wa Chadema alitoa tamko la kuwa chanjo iwe lazima na tunapoelekea huko mbele hili litafanyika kwani tumeona mataifa makubwa kama Ufaransa wakitoa mwongozo wa Chanjo ni lazima.
Ni aibu kubwa kwa kuona Mbunge wa Kawe akiwapotosha watanzania wakati chama kikuu cha upinzani kikuunga mkono kampeni za serikali katika kupambana na janga hili.
Hongera viongozi wa Chadema kwa kuweza kuliona suala la kupambana na Covid19 mapema sana.